Into the badlands season 1&2 special thread

Million dollars

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,508
2,064
Kwa wale woote tunaoifatilia series ya Into the Badlands tukutane Hapa tushare vitu vilivyotuvutia kwenye series hiyo; Binafsi namuelewa sunny & his family Imeniuma saana shemela kudanja pia Big a.k.a Boghi inasikitisha saana cjui anakufa SHUBAMIIIT! ni hayo tuu Wakuu
 
Mimi naangalia tu napenda wanavyo fight. Yule kubwa la wanawake anajua kupigana. Fighting Yao inanivutia
 
Nasubiri S3 Sijui itatoka baada ya miaka mingapi.

Ila bulge nilikuwa namchukulia poa ila ndio amehamsha hii series.
 
Bhaji hajakufa kulingana na wao walivyo onesha ana switch ile mitambo km kwenye compass inavyonesha kwa upande wangu nahisi hvyo ..ila season ya 3 sijui nan atakuwa adui [HASHTAG]#into[/HASHTAG] the badlands ni moja ya season isiyo chosha
 
Naipenda hii movie,,hiv Mk ashajua kuzitumia nguvu zake?

power za mk zime evaporate, widow alikua anataka amtumie mk na alipoambiwa hazipo tena, amempa kazi balji ya kuzirudisha, na kumpa kitabu ili ajifundishe mpaka ajue. Balji alifungiwa sehemu maalum na amefanikiwa kutoroka ili kuenda kupambana na sane. Angalia season 2 episode ya 10. Imetuacha na masual mengi sana
 
badji ndo aliemfundisha ngumi widow badae akamtelekeza.MK hataki tena zile nguvu za awali maan anashindwa kujicontrol.huku widow akizitaka azirudishe.

badji katumia ile compas kujua nisehem gani aende na kujitibu.

yule mlemavu wa kwa widow yule babu anawakati mgum kwa kuwaruhusu tilda na yule dada kusepa huku awali wakiwa wamezuiliwa na moja ya walinzi.ule ni usaliti kwa widow

QUINN kafa na kufanikiwa km alivotaka kuwa sunny hawez kuwachukua familia yke yoote inabidi wagawane.tyr mke wake kafa na quinn nae kafa
 
Mke wa sunny kauawa?si alijifungua mtoto nani kamuua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom