Azam TV na alama ya "live".

Azam TV na alama ya "live".

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
802
Reaction score
657
Tumekuwa tukishuhudia matangazo mengi ya runinga mbali mbali duniani yakiweka alama ya "live" kuashiria kuwa ni matangazo ya moja kwa moja.Lakini jambo hili limekuwa gum mno kwa Azam TV hasa pale wanapoonesha matangazo ya moja kwa moja ya ligi kuu Tanzania.Nafikiri ingekuwa bora wawaweleza wadau sababu ya kutoweka alama hiyo, lakini kesho yake au siku nyingine wanapoonesha matangazo hayo kwa kurudia inakuwa rahisi sana kwao kuweka neno " marudio ".Je, neno live kwa Azam lina mwiko gani ???.
 
kama ni mechi unaangalia hlf hauoni hilo neno "live" ujue mechi ilishachezwa sumbawanga kitambo hapo wanakamilisha ratiba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Lakini wenyewe wapo ila hawapendi kutoa majibu kwa sababu naona tunawasumbua.Tuendelee kuangalia vivo hivyo hata kama mechi ni ya siku hiyo au ya muda uliopita.
 
Back
Top Bottom