mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 990
- 618
Leo nimewaambia pesa nilizoshinda tatu mzuka wazichukue maana nimeshachoka na sms zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hivo mkuu ttzo wanakosea walitakiwa kuwatumia watu wa vijijini.Duu!! Wehu kweli hao
Yaaani wanaboa sana sanaWaliwahi kunitumia hiyo sms wakisema niwapigie nikawaambia chukua hiyo pesa niliyoshinda ununue vocha yote kisha unipigie tuongee.