Tujuzane ingizo jipya Tigo fiesta kila mwaka ,nani katoka na nani kaingia!

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
843
742
Toka fiesta ianze !! Kuna wasanii gani umeona wamo kila mwaka?
Yupi katoka?

Nani kaingia ?
Kumbka tumefikia kwenye nyapo nzuri tu "Mimi......naapa kuleta Vibe Kama loteeeeeeee√√√
 
Wengi wao sio A-list artists ndio maana ata dau lakiingilio ni dogo,
Huwezi lipa 7,000 ukamtizame whozu, jay melody, country boy, n.k
 
IMG_20181004_233324_862.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom