Rostam ft Riyama Ally&Atan,Magic-Kaolewa(lyrics)

Rostam ft Riyama Ally&Atan,Magic-Kaolewa(lyrics)

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
Its Rostam Baby


Kaolewa(Enhee)
Na nani kaolewa
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)


Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
(Kill Bea Bea)
Aaaahaa Mwajuma gani?
Yule mtoto wa mkunga asiyevaa vya dukani
Yule kutwa nguo za mtumba........!!!!!
(Bwana bwana bwana)
Yaani keshapata mchumba
Yaani huku kumedamshi njoo tufinye mpunga
Si walisema yule mgumba kizazi hana
Kitaani kicheche sana imekuwaje kapata bwana?
Mmmh ndoa kama utani mwana
Unaminyaminya nyanya unanunua bilinganya
Si walisema hana nyota nawasha mbele na nyuma
Bwana gani huyo goroka si angemuoa Muna?
Muna gani yule bwana wawili
Acha utani tukeshe mpaka aflajiri.
Kaolewa


Kiitikio

(Enhee)Na nani kaolewa?
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)
Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA


Enheee
Naona mawifi wanacheza na mshenga
Si wanasema haolewi leo ametuliza(_____)
Wale wa maX waliompiga chega
Wanaona wivu Mwajuma anapigwa denda
Ona walisema ana gundu
Ndio hao wanalishwa keki na waliosema haolewi
Ndio wanaomaliza kreti
(Nawaona)
Wasio na kadi ndio mmeingia bila wito
Si mlimchamba Bi Harusi
Mbona mnacheza Kwaitooo
Kampa kampa tena
Upo nyonyo???
Nipo titii
Najua haujachanga usiogope
CHEZA MZIKI
Ila Mwajuma anakata mauno
Anaonekana fundi
(Mmmh)
Sasa itakuwaje tumuulize Kunju
Mwajuma kaolewa(Enhee)
Kaolewa!!!!
Kaolewa(enhee)na nani???
Kumbe kaolewa
Mamaaamamaah!!!!
KAOLEWA
TOBAAAAAA


ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA


Simuamini Mwajuma
Hata kama leo kaolewa
Nampa wiki 3 tu talaka lazima atapewa
Weee una wivu au umetumwa?
Au ulimtaka akakataa
Mimi nampa miaka 800 na atadumu na utashangaa
Wewe mgeni hapa kitaa acha ubishi nisikilize mimi
Wee muache Mwa J apate raha
Kashadanga sana mjini
Alivunja ndoa ya baba sembuse huyo kapuku
Bwana tufinye cha Mtume hayo mengine hayatuhusu
ANAMEREMETAAAAAAAA
(Enheee)
Hii ni nyingine tena
Mh
NI ROSTAM tenaah
Mussa baba wa babaz
BEA
 
Its Rostam Baby


Kaolewa(Enhee)
Na nani kaolewa
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)


Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
(Kill Bea Bea)
Aaaahaa Mwajuma gani?
Yule mtoto wa mkunga asiyevaa vya dukani
Yule kutwa nguo za mtumba........!!!!!
(Bwana bwana bwana)
Yaani keshapata mchumba
Yaani huku kumedamshi njoo tufinye mpunga
Si walisema yule mgumba kizazi hana
Kitaani kicheche sana imekuwaje kapata bwana?
Mmmh ndoa kama utani mwana
Unaminyaminya nyanya unanunua bilinganya
Si walisema hana nyota nawasha mbele na nyuma
Bwana gani huyo goroka si angemuoa Muna?
Muna gani yule bwana wawili
Acha utani tukeshe mpaka aflajiri.
Kaolewa


Kiitikio

(Enhee)Na nani kaolewa?
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)
Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA

Enheee
Naona mawifi wanacheza na mshenga
Si wanasema haolewi leo ametuliza(_____)
Wale wa maX waliompiga chega
Wanaona wivu Mwajuma anapigwa denda
Ona walisema ana gundu
Ndio hao wanalishwa keki na waliosema haolewi
Ndio wanaomaliza kreti
(Nawaona)
Wasio na kadi ndio mmeingia bila wito
Si mlimchamba Bi Harusi
Mbona mnacheza Kwaitooo
Kampa kampa tena
Upo nyonyo???
Nipo titii
Najua haujachanga usiogope
CHEZA MZIKI
Ila Mwajuma anakata mauno
Anaonekana fundi
(Mmmh)
We mwanaume wa wapi?
 
Back
Top Bottom