Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,101
[Intro]
Lala salama
Matatizo, chuki, lawama
[Chorus]
Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu
Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu
[Verse 1]
Najua wivu ndo mapenzi, ila chunga usizidi
Si unajua kwako sijiwezi, ila dhiki mmebidi
Mi nilitamani sana mi kuwa nawe, tuwe wote usiku na mchana
Kilichonifanya mi nipagawe sina chochote cha kuwalisha wana
Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bonda
Ile barua yako ya mwisho ilinitonesha vidonda
Usije nilali kipenzi changu
Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana, ya kesho niombee.....

#Special kwa MABEBY zetu tuliombali nao..!!!