Sasa sio wao azam watupe taarifa wamefikia wapi kimjadala na serekali?!!Fuatilia vyombo vya habari na ufafanuzi TCRA walishatoa . ufumbuzi ni waziri husika kubadili sheria kwa sababu katazo hilo lipo kisheria zaid na si vinginevyo. Usiwalaumu Azam wala Dstv ilaumu serikali
Sasa sio wao azam watupe taarifa wamefikia wapi kimjadala na serekali?!!
Ukiangalia kwa undani kama kuna kaudicteta kidogo katika serikali hiiFuatilia vyombo vya habari na ufafanuzi TCRA walishatoa . ufumbuzi ni waziri husika kubadili sheria kwa sababu katazo hilo lipo kisheria zaid na si vinginevyo. Usiwalaumu Azam wala Dstv ilaumu serikali
Karibu Star times, utakosa ligi ya kijinga ya bongo na kipyenga cha Omar lkn burudani nyingine utazikuta. Azam wana mambo ya ajabuHivi ni lini mtawafanya wateja wenu waelewe kuwa kuna juhudi mnafanya kurudisha local chanels kwenye kisimbuzi chenu?
Au mmeona hakuna namna namna mnaweza kurudi tena tuambieni wateja wenu tujiongeze!