donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Jamani wakuu nautafuta Sana ule wimbo kina sehemu anasema viroba tupa kule saivi mwendo wa Savannah pls mwenye nao naomba anitumie
Ndio sijajua mkuu ila Ni bongelangomAkaimba nani?
Mkandamizaji jumatatu asubuhi saa moja unawaza singeli,kweli?Ndio sijajua mkuu ila Ni bongelangomA
Dingii kuna kagoma nimeamka nako kamenibamba vipi goba huko?Mkandamizaji jumatatu asubuhi saa moja unawaza singeli,kweli?
Nipo kasumulu kwa sasa mzee,ntakuletea dagaa mzeeDingii kuna kagoma nimeamka nako kamenibamba vipi goba huko?
Ebana niletee kilo naneNipo kasumulu kwa sasa mzee,ntakuletea dagaa mzee
[emoji106] [emoji108] [emoji111]Ebana niletee kilo nane
Jamani inaitwaje?Siku hizi mwendo wa vibabu, Vi Ben ten Tupa kule.
Hiyo singeli imetoka majuzi hapo, nimeisahau jina tu.
Wameimba watu wawili, mwanamke na mwanaume
Poa mkuu nakutumiaTuma namba ako dm nikutumie kwa wasap
PoaEbana niletee kilo nane
😂😂😂mtu gan wa bara anapendaJamani wakuu nautafuta Sana ule wimbo kina sehemu anasema viroba tupa kule saivi mwendo wa Savannah pls mwenye nao naomba anitumie
Usiwaze dingiiPoa
Nb;ukipata hako kanyimbo nirushie kwa whatsapp messenger,
Hahaha Kuna nyimbo nyingine automatically unajikuta umeipenda, Kama mwanza nyegezi tu[emoji23][emoji23][emoji23]mtu gan wa bara anapenda
singeli hvyo hehehhehehe...dah
kazi na bataMkandamizaji jumatatu asubuhi saa moja unawaza singeli,kweli?
Wewe kamanda unaujua singeli ya membeMkandamizaji jumatatu asubuhi saa moja unawaza singeli,kweli?