Hii nyimbo ni nzuri sana imenigusa .

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,034
2,000
Hii nyimbo ni nzuri sana ni kijana kutoka kigoma kakonko tz..Silvester Faida Ila Jina la kiusanii anatumia JACK-SOLDIER :SINA RAHA huu wimbo nimeupenda haswa nimejaribu kuweka nusu ya kipengele hapa JF ili muitazame vema.. ili kuipata kwa ukamilifu ingia youtube JACK SOLDIER : SINA RAHA
..USISAHAU KUACHA MAONI YAKO PIA GUSA NUSU YA CLIP View attachment VID_20190218195911.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom