Wapi nitapata nyimbo za Waswahili by Nature?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,010
wakuu natafuta nyimbo za hawa jamaa kama wazo la leo, yupi bora kati ya ndugu na rafiki na kila mtu na starehe yake. pia ntafurahi kupata wimbo wa sugu moto chini wa sugu. natanguliza shukrani.
 
Ninazo zote hizo kuna mwingine unaitwa "Haiwezekani" moja ya mashairi yake
Haiwezekani baharia asile ganja haiwezekani mmakonde kutochanja.

Rege zimepigwa sana lakini ubora upo pale pale ingekuwa vipi asingekuwepo mandela?
 
hazifanani shibe na njaa, hawachekani punguani na kichaa. jamaa walitisha sana. mkuu hauwezi ukaziweka hapa?
 
Ninazo zote hizo kuna mwingine unaitwa "Haiwezekani" moja ya mashairi yake
Haiwezekani baharia asile ganja haiwezekani mmakonde kutochanja.

Rege zimepigwa sana lakini ubora upo pale pale ingekuwa vipi asingekuwepo mandela?
 
Ninazo zote hizo kuna mwingine unaitwa "Haiwezekani" moja ya mashairi yake
Haiwezekani baharia asile ganja haiwezekani mmakonde kutochanja.

Rege zimepigwa sana lakini ubora upo pale pale ingekuwa vipi asingekuwepo mandela?
Kakaaaaaa,
Bado unazo hizi ngoma??
Pia na Ule wa HILI WAZO LA LEO wa hawa hawa jamaa
 
Attachments

Back
Top Bottom