Pata nafasi ya kurekodi nyimbo studio BURE!

Michael Amon

Verified Member
Dec 22, 2008
8,767
2,000
studio.jpg

Je, wewe una umri wa miaka 18 na kuendelea na unaweza kuandika mashairi ya muziki pamoja na kuimba/ku-rap na unatamani kupata nafasi ya kurekodi nyimbo ila unashindwa kwa sababu ya kukosa fedha?

Jipatie nafasi ya kuingia studio, kusaini mkataba wa kazi za muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa bila ya wewe kuchangia hata senti tano.

Jinsi ya kutuma maombi
  1. Lazima uwe mkazi wa Arusha.
  2. Rekodi audio fupi ukiimba nyimbo uliyoitunga au wimbo wowote uupendao.
  3. Tuma audio hiyo kwenda WhatsApp namba 0768444224.
NB: Mabinti watapewa kipaumbele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom