Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Kutokana na heshima kubwa mliyotupa leo... Yaani tutambea kifua mbele kwa miaka kibao mbele, sisi wanachama, wapenzi, na mashabiki tupatao M10 nchinzima, tupo tayari kuwapa motisha.
Tafadhali uongozi andaeni utaratibu wa kuchangia kila mtu chochote alichonacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali uongozi andaeni utaratibu wa kuchangia kila mtu chochote alichonacho
Sent using Jamii Forums mobile app