Wakongo bwana! Wamefunika midomo wameacha pua.

Wakongo bwana! Wamefunika midomo wameacha pua.

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,375
Je? Nani aliwapa hizo mask?

Je? Hizo mask zimaweza kuimili sumu au kemikali Kali kabisa?

Je? Kama ni kuogopa chemikali ya kupunguza nguvu mbona wengine wameziba midomo tu?

Wameleta ubishoo ndo maana wamefungwa.
IMG_20190317_195135_721.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom