CHRIS hakuweza kuvumilia zaidi, akatembea kwa haraka akitetemeka miguu. Alipowafikia akasimama na kuwaangalia kwa kuwakazia macho. Si Davis wala Pamela walioshtuka.
Ni kama hawakuona chochote...
HADITHI: Surprise ya Aibu
SEHEMU: 01
MTUNZI: DR AMBE
SIMU: 0713646500
Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja na kuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na...
aisee nipo hapa taiwan hotel igoma mwanza pametulia saaana.....!!!!! sio poaaaa kuna vybe kama looooote hiki kiwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakutana na wimbo umepambwa kwa bonge la biti linalochezeka harusini lakini maneno yaliyomo ni ya kidunia zaidi. Kanachomoza ka-neno YESU, MUNGU hapa na pale tu. Mwenzenu nashindwaga kuelewa hii...
Hii ni Hoteli iliyo na Vyumba vya Kulala Ndani ya Maji Zaidi ya Futi 30 Chini katika Bahari ya Hindi - Zanzibar, Tanzania na Inaitwa "Manta Resort" na Imetajwa kama Moja ya Hoteli Bora Duniani...
Ule mzgo tuliokua tukiusubr kitambo sana..hatimae leo upo yts
Pakua hapa mapemaaa
Triple Threat (2019) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mwaka 2007 Katika Kuelekea Siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Nchi ya Malaysia August 31, Siku ya Nyuma Yake August 30, 2007 Kijana Mmoja 'Rathakrishnan Velu' Alivunja Rekodi ya Dunia Kwa Kuvuta...
Yaani kuna muda nikipitia nyimbo zake za zamani kama stimu zimelipiwa huwa naona kama watu wawili tofauti.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
Kuna huyu kijana anaitwa "YOUNG KILLER"
Nyimbo zake na mistari yake huwa naikubali sana.
Kama pale aliposema
Unaogopa nini toba,
We binti wacha uoga,
Ona unaguu la bia, halafu nguvu ni za soda...
Hii riwaya nmeisoma mda c mrefu na jina limenitoka ila ni kisa cha mdada jack na mumewe caros wakitaka kuiba benk naiomba hii mwenye nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kiukweli nimesikiliza bongo fleva nyingi sana ni kama zote....
Kuna nyimbo kali sana zimewahi kutokea/kuimbwa na wasanii wa hapa Nyumbani. Ila kwa upande wangu hakuna wimbo unaoweza...
Kwa Dunia ukizungumza ulimwengu wa mziki wa gospel hillsong united wako juu sna hawana mpinzani katika mziki wa gospel. nyimbo yao mtu yoyote anaskiiza atheists, muslims na Christians nyimbo zao...
NOTE: Tofautisha Kifungo cha Maisha na Kifungo cha Miaka.
Huyu ni Mwanamke Kutoka Nchini Thailand Anaitwa Chamoy Thipyaso Alihukumiwa Miaka 131,078 Gerezani na Hukumu hiyo Aliipata July 27, 1989...
Kwa Mujibu wa Jarida Maarufu Duniani la Forbes, Hii ndio Hotel ya Kwanza Duniani Kujengwa Chini ya Ardhi.. ina Ghorofa 18, lakini Ghrofa 16 Zote ziko Chini ya Ardhi na Mbili Zilizobaki ziko Chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.