Ivi wakenya hua mna tatizo gani

Ivi wakenya hua mna tatizo gani

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,169
Habarini wakuu kwa hisani ya taifa star


Hivi hawa ndugu zetu wajenya hua wanashida gani au ni hawajui kuhastle kutafuta pesa au pengine ni danganya toto,

Juzi nilikua naskiliza redio citizen mishele ya satatu nikaskia mtangaziji akitoa swali na kuahid Ksh 5000 kwa washindi watatu. Swali lenyewe ovyo kabisa et walikua wanauliza" jakaya mrisho kikwete ni alikua president wa nchi gani" ivi ni kwel hamjui au ni hamna shida na hio hela au ni danganya toto maana nilikua shocked kusikia hilo swal

Sent using boeing 737 max8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom