Kwa wale wapenda ma Game tukutane hapa

Kwa wale wapenda ma Game tukutane hapa

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
4,828
Reaction score
4,736
Nitajie magame ya action makali na yenye mvuto ktk android mi nalikubali D day.
 
We kama kweli unapenda game ,huwezi kucheza game zuri kwenye simu,pc game ndo always my games
 
We kama kweli unapenda game ,huwezi kucheza game zuri kwenye simu,pc game ndo always my games
b266c3ae0dd5d9df0d42143be65b6c9b.jpg
 
Wadau mi nahitaji game za android kwanza siku nikipata kauwezo nacheza zakwenye pc
937166b28dc6adb3931084a90c7ac50d.jpg
 
63ff317734d6acc0279552e27c168fbe.jpg
mie Dream league
Fantastic,ivi mkuu mbona sioni option ya kuongeza muda wa mchezo,yaani game inaisha mapema sana asee.Kwa mfano nkitaka kuweka 90' zichukue muda wa kawaida wa dk 20.Nafanyaje?
 
wakuu mwenye link za kudownload call of dutty black ops 3 au 2 anisaidie
 
Back
Top Bottom