Katika hii remix, sugu nampa maksi 100/100, alifanya kitu ambacho hata ngoma zake huwa hafanyi hivyo

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,420
4,307
Nikikumbuka kipindi cha kizazi cha dhahabu katika mziki wa bongo fleva(kwa mtazamo wangu) kuna wasanii wengi walifanya vitu vikubwa na vya maana sana.

Moja kati ya wasanii waliowahi kutamba na kuja kupotea ghafra alikua MIKE TEE, huyu jamaa alikua anafanya vitu simpo ila ana hakikisha anapiga chorus kali kutoka kwa msanii mkali, wewe mwenyewe ukija kusikia ngoma kweli unakubali.

Mike alifanya kazi nyingi kwa kuwashirikisha wasanii wengi.
Mike/lady jaydee
Mike/juma nature
Mike/ mad ice
Mike/Q-chief
Na nyingine nyingi ambazo zilikua hit sana( nani haijui ile ngoma iliitwa NI BEEP akimshirikisha dada yake ambae naskia aliwahi kuwa miss)
Sasa katika kutoa kolabo zake bhana akaja akaruhusu ifanyike remix ya wimbo wa JE UTANIPENDA?(samahani watoto wa 2000 sio hiyo mnayofikiria ya Diamond)
Humo ndani SUGU hakuremba hata kidogo , aliflow mistari mizito sana halafu akanata na beat kisha katikati ya mistari akazungumzia tukio lake la kuvamiwa na majambazi na kuibiwa vifaa vyote vya kimuziki(huwa naamini alifanyiwa njama tu)
Katika hiyo remix si mad ice wala mike tee waliogusa ukali wa mheshimiwa, VERSE HII HAPA

Hawapigi tena track redioni/
Hata kwenye Tv haunioni na jina haliendi chini/
Najua unashangaa hata mi sijui kwa nini/
Je ungenipenda kama nisingekua star/
Kwa sababu sio handsome wanasema ungekataa/
Mi ni msanii na ndio maisha ninayoishi/
Sometimes sina kitu lakini nakua mbishi/
Nikipita manukato wengine wanaita marashi/
Aaah! Aaah! Sio ya pemba bali ni harufu ya GUCCI/
Kila kitu ni original nang’ara kuliko tochi/
Kwenu mi ni mpaka ndani sebuleni/
Cheni kubwa shingoni/
Na hereni huku na huku masikioni/
Na nashangaa mama ako haniiti tena muhuni/
Naskia alitoa chozi NILIPOINGILIWA NA GUN/
Je ungenipenda ningelost niwe fukara/
Au ungeniona sio dili na sifai kwa biashara/
Mi ndo SUGU hautopata bwana bora/
Asikwambie mtu kitu, mabitozi na MARK2/
Mikwara tu hawana kitu, kiwese geji iko chini/
Ndo maana vioo chini/
Unastahili kilicho bora ni lazima uwe makini/
Sema nikuite nani au QUEEN kama DORIN/
Nambie utanipenda kama nisipokua staa/
Na kama siku nitalost na nikikosa chapaa/
Aaah! Talk to me now!
CHORUS:
Katika Remix bora kuwahi kufanyika bongo hii nayo ipo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimejaribu kuitafuta audio YouTube sijaiona so kama kuna mtu anayo aiweke hapa.

Daaa hatari faya yaani nilivyosoma title nikawaza hii track,mabitoz na mark2 mikwara hawana kitu,hawapigi tena track redioni.
 
Dah, nimeitafuta huo wimbo nimeukosa, ila tule hii ngoma yake kali CHINI YA MIAKA 18, well written song.

Sugu alichana Kwa hasira Sana ,hii track kwangu ilikuwa Kali kuliko original
Nilipata kuwahi kusikia hii ndo ilikuwa original.....sema jamaa alipoipeleka radio station flani akaambiwa haitapata airtime ikabidi itolewe Vers ya Sugu ,Mike T akapiga Vers zote yeye...ndio maana remix haikufika mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mitaani hiyo ya Sugu ndo ilibamba zaidi. Ila wabongo bana, hii ngoma wakasema ametafsiri 21 Questions ya 50cent. Alipokuja na SINTOBADILIKA wakasema katafsiri Same Ol'G ya Genuwine.
 
Back
Top Bottom