PENZI LENYE MAUMIVU-01
Mtunzi:Juma Hiza
0712988278
Katika maisha yangu yote ya ndoa sikuwa ni miongoni kati ya wale wanaume waliyotulia. Licha ya kuwa mke wangu, Lillian alinionyesha mapenzi ya...
Nyimbo ya kwanza ni dotinata,ambayo papi kocha ameshiriki vema na nyingine jina siijui ila ila mashairi yanayosema unionyeshe nani anagawa pesa nimfuate nami nipunguze shida saidia omba omba,kama...
Habari wakuu, naomba kujua, nimelipia 8800 kwenye iflix ambayo ni gharama ya kujiunga kwa mwezi, sasa cha ajabu kila nikiingia data zangu za kawaida zinaisha, kwa anaejua anisaidie,
Sent using...
Jina Lake Kamili Anaitwa Robert William Pickton, Anafahamika kwa Majina Maarufu ya "The Pig Farmer Killer", "The Pigheaded Killer" au "Pork Chop Rob" na Hii ilitokana na Umaarufu wake wa Kuwauwa...
NYEMO CHILONGANI.
UTAJIRI WENYE UCHUNGU.
Sehemu ya Kwanza.
“All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your...
Niwekee wimbo wako unaoona ungeweza kumwimbia mpenzi wako wa kwanza kabisa ili kuonyesha mapenzi yako - yaani ile full fallen in Love.
Mimi nimechagua huu hapa - unaweza kuimba pia maana...
Mwana FA ft G Nako - Mfalme lyrics
[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa...
NYEMO CHILONGANI.
BIASHARA YA KIFO.
0718069269.
Sehemu ya Kwanza.
Mvua kubwa ilikuwa ikinyesha, mitaro midogo ikaanza kujaa maji huku baridi likianza kupiga kwa nguvu ndani ya jiji la Dar es...
Nikki mbishi A.k.a Unju Huyu Jamaa nimeanza kusikiliza nyimbo zake long sana is very wise rapper na ile clue yao ya tamaduni muziki hawa majamaa wanajua
Nimefuatilia interview aliyofanyiwa na...
Ngoma zote zinazungumzia Mapenzi
Kwa wale wahenga na kuanzia 2010 kirudi nyuma kabla ya ujinga wa team haujaingia
ngoma gani ni kali kati ya hizi?
cc KIOO kama unazo hebu tusaidie kuziattach...
Wiki tatu zilizopita niliamua kumuacha mpenzi wangu wa muda mrefu , kutokana na vipigo vya Mara kwa Mara na usaliti nimeamua kumuacha mwenyewe tatizo naumia sana moyo umeanza kumkumbuka Ila mwili...
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa
Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai
Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai...
Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man...
NDOA YANGU (01)
‘Chozi langu litalipwa’
By; KING T CONTROL
Nilipokuwa mdogo kipindi bado nasoma, nakumbuka maneno aliyokuwa anapenda kunambia marehemu baba. Maneno ambayo awali niliyachukulia...