Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 377
- 262
Nikki mbishi A.k.a Unju Huyu Jamaa nimeanza kusikiliza nyimbo zake long sana is very wise rapper na ile clue yao ya tamaduni muziki hawa majamaa wanajua
Nimefuatilia interview aliyofanyiwa na wasafi tv kipindi cha Bartender Na mtangazaji Jonijooo nikagundua huyu jamaa mbali na kuwa rapper kumbe alisoma Computer Engeneering
Maswali aliyoulizwa na alivyokuwa anayajibu ilinidhihirshia kuwa huyu jamaa Ana IQ ya pekee mno. Swali Kwanini media wasim promote huyu jamaa ki mziki maana anajua sana tatizo media zinam felisha huyu jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app