JE UNAMJUA ROBERT PICKTON MUUWAJI WA WANAWAKE NA KUWAFANYA NYAMA KWA NGURUWE WAKE?

FM facts

Member
Mar 16, 2019
45
88
Jina Lake Kamili Anaitwa Robert William Pickton, Anafahamika kwa Majina Maarufu ya "The Pig Farmer Killer", "The Pigheaded Killer" au "Pork Chop Rob" na Hii ilitokana na Umaarufu wake wa Kuwauwa Watu na Kuwafanya Nyama Kwa Nguruwe Wake Aliokuwa Akiwafuga Mashambani Kwake.

Robert Alizaliwa October 24, 1949 Huko Columbia na Hadi sasa Ana Umri wa Miaka 69

February 22, 2002 Robert Alikamatwa na Polisi Huko Cannada Kwa Tuhuma Za Kuhusika na Mauwaji ya Watu Waliokadiriwa Kufika 49 Huku Wengi wao Wakiwa ni Wanawake Akiwauwa na Kuwafanya Nyama za Nguruwe Wake.

Katika Maelezo yake Mahakamani Robert Alisema Kwamba Alianza Kujifunza Uuwaji Mwaka 1983 Kazi Aliyokuwa Akiifanya Hadi Mwaka 2002 Alipokamatwa.

Mwaka 2005 Ilitoka Movie Nchini Humo Iliyoitwa "Full Flood" Iliyokuwa na Maudhui ya Matukio yote ya Mauaji Dhidi ya Wanawake Aliyokuwa Akiyafanya Mtuhumiwa Bwana Robert na hiyo Ilikua ni Baada ya Mwandishi Maarufu wa Vitabu Nchini Humo Bwana Stevie Cameron Kuandika Kitabu Cha "On The Farm" Kilichokua na Maudhui ya Kesi Hiyo pia.

Mwezi August 2006, Shahidi Mmoja wa Kesi hiyo 'Thomas Loudamy' Aliekua Mkulima wa Karibu na Sehemu Robert Alipokua Alifugia Nguruwe, Alilalamika Kwamba Alikua anapokea Barua Nyingi sana za Vitisho Kutoka kwa Mtuhumiwa Zikimtaka Ahakikishe Anatoa Ushahidi wa Uongo ili Upelelezi Usiweze Kufanikiwa na Aachiwe Huru.

Wakati Upepelezi Ukiendelea, Ulipatikana Ushahidi Mwingine tena wa Uhakika Ukionyesha Kuwa Bwana Robert Aliwaua Wanawake Wengine 6 Hali Iliyopelekea Mnamo December 9, 2007 Mahakama Nchini Cannada Kumhukumu Robert Kifungo cha Maisha Jela Baada ya Kujiridhisha na Ushahidi wa Makosa Hayo na Hadi sasa Anandelea Kutumia Kifungo Chake Gerezani.

Ushahidi Huo Mwingine Ulieleza Kuwa Wanawake hao Wengine 6 Aliwauwa Kati ya Mwaka1997 -2001 (Mmoja 1997, Mmoja 2000 na Wanne 2001).

Wakati Akiwa Gerezani, Augost 4, 2010 Ulipatikana Ushahidi Mwingine tena Uliomuonyesha Robert Kahusika na Mauaji Mengine ya Wanawake 20! Kati ya Mwaka 1997-2001.

Huyu ndie Robert Pickton, The Pig Farmer Killer, na Kesi yake Mahakamani iliitwa "The First Degree Muder".

Tufollow sasa Instagram @fm_facts
pickton_trial_begins-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufollow sasa Instagram @fm_factsView attachment 1047108

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukifanya utafiti utaona kwamba watu makatili na wauaji wakubwa ("First degree murderers") na mashoga chakula chao kikubwa (staple food) huwa ni nyama ya nguruwe.
 
hahahaha acha utani mkuu kwamba wale ISIS, BOKO HARAMU wanapiga sana hii kitu
 
Mimi sizungumzii wale wanaoendeshwa na religious centiments kama boko haramu na wale walioua watu wakiswali msikitini siku ya ijumaa kule Newzealand ( sijui Australia?).

Mimi ninazungumzia mtu kama huyo jamaa aliyefanya mauaji kutokana na matashi ya nafsi yake binafsi (the inner personal desires), mtu ambaye hajasukumwa na mitazamo na imani na chuki za kidini au kikabila (Xenophobic).
 
Back
Top Bottom