Mwenye nyimbo hizi za FM Academia,msaada tafadhali

mtzima

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Nyimbo ya kwanza ni dotinata,ambayo papi kocha ameshiriki vema na nyingine jina siijui ila ila mashairi yanayosema unionyeshe nani anagawa pesa nimfuate nami nipunguze shida saidia omba omba,kama kuna mwana jf mwenye nyimbo hz au link ambayo naweza kuzipata nitashukuru sana.
 
Zinaitwa.
~Dotnata
~Acha tamaa

Me niko full na wazee wa ngwasuma, nipo dar tafuta mimi nikupe.
 
mimi ninazo zoooote nyimbo.za hao wazeee ni balaaaa.sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom