Miller James
New Member
- Aug 1, 2018
- 4
- 1
Habari wakuu, naomba kujua, nimelipia 8800 kwenye iflix ambayo ni gharama ya kujiunga kwa mwezi, sasa cha ajabu kila nikiingia data zangu za kawaida zinaisha, kwa anaejua anisaidie,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app