Jinsi ya kukabiliana na maumivu ya kuachana na mpenzi

Mar 21, 2018
46
14
Wiki tatu zilizopita niliamua kumuacha mpenzi wangu wa muda mrefu , kutokana na vipigo vya Mara kwa Mara na usaliti nimeamua kumuacha mwenyewe tatizo naumia sana moyo umeanza kumkumbuka Ila mwili hautaki nimeamua kwa dhati kumuacha niendelee na maisha . nataka mnijuze nifanye nini anitoke akilini na moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wa kikinga mamboo... Mi nafurahi hujajifunga kamba..

Tuyajenge sasa si upo singo, nitakupa tekiniki.
 
Tatizo ujaamua kumuacha siku utakapo amua kwa kumuacha utomkumbuka jaribu kufanya vitu unavyopenda kufanya na jiweke bize sidhani kama utapata mda wa kumuwaza mtu km unatoka saa 11 au 12 kwnd kwny shuguli zko na kurudi zko usiku

Cku utakapo sema umtafute mrudiane atakuona bonge la mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom