Msaada: Nani kaimba huu wimbo kama unao nisaidie

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai

Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai ndani yake japo sina uhakika

Nimegugo sana mpaka nimechoka niliwah kuwa nayo kabla PC yangu hajaibiwa...nilikuwa nimeisevu kwa jina la mp3 ndo maana imekuwa ngumu kujua aliyeiimba...msaada kama unaifaham
 
me natafuta wimbo uliimbwa na THT

daima milele milele, daima milelee kwan penz la kweli..

nakumbuka alikuepo buibui na watu wengine wa THT ya kipindi hicho.

mwenye nao na naomba.
 
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai

Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai ndani yake japo sina uhakika

Nimegugo sana mpaka nimechoka niliwah kuwa nayo kabla PC yangu hajaibiwa...nilikuwa nimeisevu kwa jina la mp3 ndo maana imekuwa ngumu kujua aliyeiimba...msaada kama unaifaham
Tafuta wimbo wa Marlaw na Chid Benz jina la wimbo ni MBONA UMENUNA
 
Tafuta wimbo wa Marlaw na Chid Benz jina la wimbo ni MBONA UMENUNA
ahsante mkuu lakin sio huu,, naotafuta mimi chorus yake ipo hivi

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom