Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Tukumbusgane ulizozikubali zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Best of Late 90s + Early 2000s Hip-Hop & R&B - YouTube old school (80's & 90's) hip hop/rap/r&b - YouTube Tukumbushane ulizozikubali zaidi
2 Reactions
194 Replies
34K Views
Baada ya kipindi kirefu watu wakilalamika kua instagram inaongoza kwa kunyonya mb nyingi hivyo vifurushi kuisha mapema, sasa vodacom wameamua instagram iwe free kama facebook Utaipata huduma ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wana jamvi Kwanza niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Nchi hii naona ina promote ushoga kupitia tamthiliya zake kama THE PROMISE,kuna jamaa anaitwa Takong linavaa nguo za...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
habarini. ngependa kujua Zlatan mnyama yupo wapi ni majeruhi bado au vp maana sikuhiz simuon hata kwenye kusugua bench.
1 Reactions
7 Replies
874 Views
Mimi Ni mpenzi mkubwa Sana WA muvi za mapenzi..zipo nyingi nzuri..but ninazo zipenda Sana Ni The Notebook,a walk to remember,dear John..40 and the first date..just go with it.shrek...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Huyu mama Mbilia Bell staili yake ya uimbaji, sauti, mwonekano wake (sura na shepu), huwa ananiacha hoi kweli. Hasa vibao vyake vya Boyaye, Nadina, Nakeyi Nairobi na Ekoswai wapi huwa navihusudu...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Umofia Haya ni baadhi ya Matamasha nayotamani sana kuja kwenda yashuhudia Tanzania. Na hizi ni long term goals za miaka 3 ijayo nilizojiwekea lazimma nije hudhuria matamasha yake: Zanzibar...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku hizi mashabiki na wapenzi wa nyimbo za wasanii tofauti tofauti nchini na hata nchi za ughaibuni kumekuwa na tabia ya kupendelea kutizama video zaidi kuliko kusikia maneno yanayoimbwa katika...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
  • Redirect
Simba hapa inakuwaje na hii national anthem uliyotoa.Naona kuna clean version,vevo na ile ya watu wazima nini tatizo team wcb wenzangu.Mbona views vevo zajikongoja ili hali huku you tube views...
0 Reactions
Replies
Views
Katika historia ya muziki wetu Tanzania kumekuwepo album nyingi mno hasa kipindi cha miaka 15 iliyopita ambapo bado album za wanamuziki zilikuwa na soko kubwa hapa Tanzania. Nafahamu album...
9 Reactions
92 Replies
16K Views
Nimeona picha za jay z akiwa bongo,hivi amewahi kupafomu bongo??? Mimi nimekuja mjini kutoka kolomije jana tu ,msinitukane jamani
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo kwa Mara kwanza nimepata fursa ya kuangalia Tamthilia ya "Huba" Kwa Kell wanajitahidi sana na wanastahili pongezi! Lakini kuna jambo moja wanatakiwa mbele ya safari walirekebishe. Kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza nitoe rai kwa Basata na TCRA hii video ndani ya wiki isionekane hewani ni kinyume kabisa na maadili ya mtanzania Na pia video zote kutoka nje zisizo na maadili ya nchi yetu zipigwe...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
SEHEMU YA 1 A. NINAITWA MTUMISHI PAPA Mtumishi Papa: Penny wewe unapenda stori jaman sijakuona sikunyingi ujue! Money Penny: basi tukasalimiana hapo wee tukajikumbushia ya zamani akyanani...
13 Reactions
290 Replies
32K Views
HADITHI FUPI: Meriana ni msichana mrembo na mwenye mafanikio makubwa Kwa nje.. kuna siku alitamani kula mayai akaamua kwenda Mtaani kwao nyuma kidogo...Malongwe Kwa mzee Kanyimbi amabae ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu jamaa amejiwekea desturi sikuhizi kutoa nyimbo baada ya karne nzima,utadhani hana mashabiki ukimilinganisha na mpinzani wake, anajitahidi kutoa nyimbo na aim yake kubwa ni kutoa nyimbo ambayo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Ilikuwa zaidi ya Burudani, now nimejua wazi why uzinduzi ulifanywa Kenya.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale. but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri. naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana...
7 Reactions
67 Replies
32K Views
Back
Top Bottom