U-bongo movie kwenye Tamthilia ya Huba

U-bongo movie kwenye Tamthilia ya Huba

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,969
Reaction score
51,130
Leo kwa Mara kwanza nimepata fursa ya kuangalia Tamthilia ya "Huba" Kwa Kell wanajitahidi sana na wanastahili pongezi!

Lakini kuna jambo moja wanatakiwa mbele ya safari walirekebishe. Kuna uhusika wa mtu anayeitwa "David". Kwa kawaida jina hili kwa watanzania hutumiwa na watu wa dini ya kikristo,lakini kwenye tamthilia hii muigizaji anayelitumia jina hilo ana "Sigda" ya kufa mtu!
 
Hahahaha...... Hubaaaa hubaaaa ni nzuri sana, wajirekebishe mapungufu madogo madogo
 
Hahahaha...... Hubaaaa hubaaaa ni nzuri sana, wajirekebishe mapungufu madogo madogo
Ni kweli kwa vigezo vya ubora wa tamthilia zetu hawa jamaa wapo vizuri sana.

Ila hilo kosa sio dogo kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom