Kwanini nchi ya Ufilipino inachochea ushoga kwenye tamthilia zake?

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
Habar wana jamvi
Kwanza niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Nchi hii naona ina promote ushoga kupitia tamthiliya zake kama THE PROMISE,kuna jamaa anaitwa Takong linavaa nguo za like,wanja yan sijalielewa kabisa

Hivi sio ushoga huo jaman?

Nawasilisha.
 
Habar wana jamvi
Kwanza niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Nchi hii naona ina promote ushoga kupitia tamthiliya zake kama THE PROMISE,kuna jamaa anaitwa Takong linavaa nguo za like,wanja yan sijalielewa kabisa

Hivi sio ushoga huo jaman?

Nawasilisha.
Hujasema dhumuni lako.
Ile ukweli ushoga nchi as mashariki ya mbali umekubalika kwenye society zao .
 
form one sijui form two ndio niliacha mambo ya kuangalia tamthilia..... hivi mkuu hadi sasa unakaa chini unaangalia tamthilia ? ukichelewa kufika nyumban unaweweseka kabisa unawahi, dah.
 
Hizi tamthilia za kifilipino bora mtu ukaangalia movie za kihindi ambazo kila saa wanaimba na kucheza kuliko hizi ambazo mwanzo hadi mwisho ni kulia lia sio mwanaume sio mwanamke.
 
Je hapa kwetu si kuna vijana kibao wanavaa nguo za kike wanajipamba kike wanabadilisha sauti na wanapewa nafasi katika tv zetu tena za taifa kwa kisingizio cha komedi. Tubadilike tupige kelele tukatae mbona mzee majuto haigizi kike shenzi type
 
Back
Top Bottom