Kwanini Diamond kila wakati tunasema atapotea lakini kimya?

Jux juma

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
871
Reaction score
691
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut
Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue n.k wa meshindwa maintain lkn uyu jamaa yupo2 adi nishachoka kusubili kuona akianguka kimziki
Jamaa kama sio fremason basi mchawi
 
Acha kuwaza ujinga wewe, pambana na hali yako
 
Mkuu, Diamond si mchawi. Mchawi ni wewe unayekesha ukisubiria anguko la wenzako
 
Watu wa Kigoma sio wa mchezo mchezo.

Wana roho saba, ukisema anakufa leo(kimuziki) kesho unashangaa anaibuka tena.

Yaani ni shidah.
 
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut
Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue n.k wa meshindwa maintain lkn uyu jamaa yupo2 adi nishachoka kusubili kuona akianguka kimziki
Jamaa kama sio fremason basi mchawi
eden kimario.
 
Siku zote unapomchukia Mtu yoyote asiyekukosea wala kusumbuka na Wewe basi ndiyo Kwanza unamzidishia baraka tele.
 
Na wewe kuwa mchawi ili usishuke hapo ulipo

Hizi mentality kama za magufuli haziwez kukusaidia sana.
 
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut
Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue n.k wa meshindwa maintain lkn uyu jamaa yupo2 adi nishachoka kusubili kuona akianguka kimziki
Jamaa kama sio fremason basi mchawi
Utoto tu... Ukikua utaacha
 
Mkuu Diamond uchawi wake ni KIKI,sema Watanzania wengi hawajui hilo,namsikitia WEMA SEPETU anatumika na Diamond kibiashara bila yeye kujua,hata kufarakana na ZARI ule ni mpango wa kimkakati,sema ZARI ni mwanamke anaye jitambua hawezi kuwa mjinga kama WEMA,kwa ufupi ana tembelea nyota za watu wengine,huyo ndo DIAMOND THE PLATINUM, hata hili jina la mwisho alipewa na WEMA,
 
Asante kwa kuchangia
 
Back
Top Bottom