Hiv Zlatan Ibrahimovic yupo wapi?

Hiv Zlatan Ibrahimovic yupo wapi?

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1,931
Reaction score
2,327
habarini.

ngependa kujua Zlatan mnyama yupo wapi ni majeruhi bado au vp maana sikuhiz simuon hata kwenye kusugua bench.
 
Anakula bure mshahara wa paundi laki 3 kwa wiki. Mourinho fala kweli kaifanya Manchester United iwe kama Burnley FC
 
Anakula bure mshahara wa paundi laki 3 kwa wiki. Mourinho fala kweli kaifanya Manchester United iwe kama Burnley FC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] man u ckuhz ushind wetu wa kimachale machale
 
Back
Top Bottom