Nyimbo mpya : Wacha waseme

Nyimbo mpya : Wacha waseme

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,556
Reaction score
14,302
Wakuu tusaidiane kutungs nyimbo yenye jina hilo juu. Ikiwa tayari tutanunua beats za nyimbo ya Diamond " The one"


Mie naaanza hivi

Wacha waseme , wacha waseme wacha wasemeeee.


Wapambe wamezoeaa
Kila kitu kukosoaa
Leo umekuwa wangu wanasemaa
Jana sikuwa na ubavu wangu wakasemaa
Siwajali najilia vyangu
Najivunia kuwa na wewe ubavu wangu
Na wakitaka kuendelea kusemaa..... wacha wasemee


Chorus


Wacha waseme , wacha waseme , wacha wasemeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom