mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Habari zenu wadau...leo nimeona tujadili kidogo vya nyumbani maana niliona threads moja ikitaja movies zenye sex scenes nyingi na hapo ndipo wakina Spartacus,game of thrones na nyinginezo zikatawala...
SASA ebu turudi apa kwetu bongo jamani kwenye bongo movie ni movie zipi ambazo zimejaa uchafu ambao huwezi kuangalia na watoto au hata wazaz wako.Najua zipo nyingi zenye mambo machafu kama vile nguo za ajabu ajabu( vimini extra), kushikana shikana na kunyonyana ndimi live live...Ebu tiririkeni ili tuwe na tahadhari nazo kabla hatujaangalia majumbani mwetu tukiwa na familia, mi naanza na zangu
1....Oprah ( ya kitambo kidogo)
2...Best friend ( hii ndo ina real romance za kupitiliza,ndimi nje nje hadi wananogewa kiukweli)
tupia nyingine chini...