habarini wanajamvi natumai niwazima waafya.kwmudamrefu nimekuwa nikitafu wimbo wasanura ulioimbwa na marehemu tongolanga.naomba jamani mwenye nao anitumie. Naupenda sana
Oohhooo it's me agaaain! Comrade kipepe mzee wa nyika, KING OF THE JUNGLE! Leo teeeena nipo mitamboni hapa jf kwenye moja na mbili! Nateleeeeza kama nawinda swala
Hahaaha ebanaeeeee! Leo mzee...
Habarini wakuu,Hope weekend inaenda poa....Hivi kuna anayejua hii movie Girlfriend waloigiza akina TID,JayMoe,Monalisa wapi inapatikana maana iliyopo YouTube kuna baadhi ya vipande havina sauti...
Jamani ni tamthilia ya kichina na imetafsiriwa kwa kiswahili ni tamthilia nzuri sana na inafundisha sana, inaonyeshwa channel ya star swahili ndani ya star times jtatu hadi ijumaa kuanzia saa 12...
Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu...
Wale wazee wa jamvi natoa game za kimataifa head to head niulize game yoyote nikupe mchambuo wote na pia ushauri natoa kwa wale wanao tandika jamvi........karibu tushinde
Huu wimbo uwa hauchuji masikion mwangu kwangu ni kati ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wenye hisia ukiachilia mbali hayakuwa mapenzi wa sugu.
Kipindi unatoka chid alikuwa chini ya jagged records...
Gwiji la matopeni wavaa njano na kijani JPM limeamua kuingia rasmi kwenye mziki kwa madai unalipa zaidi
Juma pondamali mensah(JPM) ni mojawapo ya majina maarufu sana nchini danganyika
Ikiwa ni...
Wanabodi,
Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy.
Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile...
1. UGONJWA UNAOUA
Hadithi hii inamuhusu kijana Fredinho Piscus. Alikuwa miongoni mwa vijana walioishi katika Mtaa Complexo da Mare, moja ya mtaa wa kimasikini uliokuwa katika Jiji la Rio de...
Nipo na feitoto, mwenye swali lolote atupie niwasaidie kumwuliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alfajiri imefika
anga inang'aa
mvua inaanza katika
ghafla tumbo la njaa
naweka sauti kwa spika
nipate umbea wa dar
mara simu inaita
jina la anko twaha
akisema, mama yu hoi kitandani
kama si wa leo...
Rank & Title IMDb Rating Your Rating
1. The Shawshank Redemption (1994) 9.2
2. The Godfather (1972) 9.2
3. The Godfather: Part II (1974) 9.0
4. The Dark Knight (2008) 9.0
5. 12...