Tamthilia ya home temptation

Tamthilia ya home temptation

paskalina

Senior Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
110
Reaction score
110
Jamani ni tamthilia ya kichina na imetafsiriwa kwa kiswahili ni tamthilia nzuri sana na inafundisha sana, inaonyeshwa channel ya star swahili ndani ya star times jtatu hadi ijumaa kuanzia saa 12 jioni, tizameni mjionee wenyewe
 
Yeah ni nzuri sasa hivi ipo na A sister's revenge ni nzuri zaidi

Back
Top Bottom