Nipo na Feitoto Fei-senegali a.k.a msonobari

Nipo na Feitoto Fei-senegali a.k.a msonobari

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
870
Reaction score
780
Nipo na feitoto, mwenye swali lolote atupie niwasaidie kumwuliza.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amunike ngd yangu...tunao wachezaji wa kazi kazi.! Kutuwekea watoto, imagine mtu jina tu ni totoo kweli kuna mtu mkomavu hapo wa Kupambana na mijitu misenegali..!huyo bado ni mtoto muache Kwenye benchi apate uzoefu kwa macho Kwanza.
 
Wameiwakilisha vibaya ...... ya awamu ya tano.
 
Kifupi ni kwamba wachezaji wetu walikua wakijificha nyuma ya waSenegal.
Fei toto alikua hana wa kumpa pasi akipokea pasi mudathiri yuko mt 15 mbele Mau Mkami yuko mt 10 pembeni tena Nyuma ya mchezaji wa Senegal.
Hakuna namna tafauti na kumrudishia Yondani abutue Mbele.

Siwei mlahum Feitoto moja kwa moja.
 
Nataka nijue Feitoto ana mademu wangapi?

Alafu mkuu acha kumtania Fei kuwa yeye Msenegal
 
Tulifungwa 7 na fei toto hakuwepo.
Yule sura mbaya wa Senegal sio wa kumfananisha hata na mkude katafuteni mwengine.
 
Nakumbuka tulipigwa 7 na Algeria, hao wachezaji wenu kina mkude hawakucheza? Kocha alikuwa Amunike? Kilimanjaro Stars ilirudi na aibu kwenye mashindano ya cecafa yenye kukutanisha wabovu watupu, hao wachezaji wenu walifanya nini? Tuache lawama za kijinga, tujipange upya, yale mashindano yametuzidi kimo. Hata waganda mashindano yaliyopita waliambulia pointi moja, wakarudi kujipanga upya na sasa wameanza vizuri
 
Fei toto fei pasi fei goli a.k.a filipi kutinyo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Delle Alli anakwambia ukitoa fei toto hakuna midifilda kisheti Africa [emoji12]
 
Back
Top Bottom