Zamani bwana ukionyesha dalili za kuandika na shoto utachezea fimbo za kufa mtu, wa zamani mpo? Hebu tukumbushane nini chanzo?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Aisee kuna jamaangu alikuwa anachezeaga fimbo kinoma noma , unakuta kila ticha akiingia tu akitoa kazi analoooo
Hebu tukumbushane chanzo ni nini?
 
Mdogo wangu wa kike alipigwa sana na bimkubwa, ila saivi anatumia mkono wa kulia kwa kuandika tu ila kaz zingine zooote anafanya na mkono wa kushoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom