Simulizi; Binti kipofu

gemplatnumz

Senior Member
Jan 24, 2017
133
371
: BINTI KIPOFU

Sehemu:01

Mtunzi: Salma Rashid

Walionekana wafanyakazi walioweza kuvalia
gauni nyeupe fupi wakijipanga mstari katika
jumba Kubwa la kifahari kuelekea mlangoni.
"Madam anakuja kila mtu akae vizuri"
alizungumza mmoja wa wafanyakazi hao
akiwatahadharisha wenzake ambao na wao
walianza kujiweka vizuri kwa kutengenezea tai
zao. Hapo hpo liliingia kundi la wanaume saba
walioweza kujigawa katika magari matatu
yaliyoweza kuwapo eneo lile.
Vilisikika viatu vilivyokuwa vikitoka ndani ya
jumba lile Kubwa la kifahari wote waliinama chini
ishara ya kutoa heshima alitoka mwanamama
mmoja aliyeweza kuyavalia miwani yake baada
tu ya kujitokeza mbele ya wafanyakazi wake.
Aliirudishia pochi yake vizuri mkononi kisha
akaanza kupiga hatua za kuelekea mahali magari
yalipo. Akiwa anaelekea huko alisimama baada
ya kuhisi ya kuwa kuna mtu anakuja nyuma yake.
Aligeuka nyuma na hapo aliweza kukutana na
mkono wa kiume uliokuwa ukilikunja shati lake
vizuri mkononi na kutengenezea saa yake vizuri
mkononi.
Adrian aliita mwanamk yule ambye makamo yake
yalionekana kusogea mbele.
Adrian alitabasamu kisha alipoweza kufika karibu
naye alimpiga busu la mdomo.
"Umeamkaje kipenzi changu Vanessa?? Aliweza
kuuliza Adrian ambye kwa umri alionao
hakupaswa kumuita Vanessa kipenzi bali mama
au aunt.
Walishikana mikono na kuelekea mahali magari
yalipo Adrian alitaka kuingia gari la kwanza lakin
watumishi waliweza kumzuia.
'Kwanini mnanizuia kupanda??! Aliuliza kwa sauti
ya ukali sana hadi kumfanya Vanessa ashuke
kwenye gari aliloweza kulipanda.
" kuna shida gani hapo??? Aliuliza Vanessa.
Mtumishi mmoja alitoa heshima kisha akaanza
kuzungumza.
"Madam Tropina amesema leo atapanda gari hili
kwahiyo boss Adrian hatopanda gari hili Leo"
"Hivi huyo kipofu ananitafutia nini Mimi?? Hajui
ya kuwa Mimi ndiye Baba mwenyenyumba hii"
"Nyumba ipi hiy? Ilisikika sauti laini na ya
utaratibu na kwa sauti ya juu ikiuliza swali hilo
Vilionekana viatu vyekundu simple vilivyowezwa
kubebwa na suruali nyeupe chini iloyoweza
kupanda hadi kiunoni, kiuno hicho kiliku kilikuwa
chembamba kilichoikaa vyema suruali hiyo shati
jekundu lililoweza kuchomekewa ndani ya suruali
hiyo nyeupe.
Adrian alimtizama juu mpaka chini kisha akakosa
neno la kuongea juu yake.
Tropina aliweza kupiga hatua hadi kufika pale
Adrian alipo.
"Mwambie mama yako akununulie gari la
kuzurura nalo mtahani lakini siyo utumie gari la
pesa aliyoweza kuitafuta Baba yangu
alizungumza Tropina kisha akaufungua mlango
wa gari kwa nguvu na kumgonga Adrian pajani
ambako alianza kugutaguta kwa maumivu
aliyoweza kuyapata huku akishika paja lake gari
liliwashwa na hatimaye aliweza kuondka zake.
Vanessa aliweza kwenda kumkimbilia Adrian na
kumpa pole huku akijaribu kumgusa gusa na
kutizama gari aliloweza kuondoka nalo Tropina.
Adrian aliyauma meno yake kwa hasira huku
akiona kabisa ya kuwa Tropina anamfanyia
dharau na makusudi.
Alirudi ndani kwa hasira sana huku nyuma
akifuata na Vanessa. Baady ya wote kuingia
ndani ya nyumba mbele yao aliweza kujitokeza
mfanyakazi mwenzao Diana aliyekuwa wa vituko
kila kukicha baada ya kufika pale aliweza
kuyarudia maneno ya Tropina huku akitembea na
akiwa ameyafunga macho yake. Ghafla Vanessa
aliweza kutoka ndani na Diana aliinama chini
akijifanya ya kuwa anafagia zake.
***** ******** *******
Katina upande mwingine alikuwa mwengine
aliyeonekana ya kuwa alikuwa akimsubiri mtu
aweze kufika eneo lile kwni alikuwa akiitizama
saa yake na kutizama upande wa juu wa
barabara.
Aliitoa simu yake kisha akaipiga.
"Mbona hapokei simu alizungumza huku
akiendelea kupiga cmu ghafla akiwa pale aliweza
kusikia mlio wa pikipiki ukiwa unakuja eneo lile.
" kila cku namwambia aache kukimbiza pikipiki
hivyo lakini Vikram huwa asikiagi mtu kbisa"
alilalamika Alice pikipiki ile ilipofika karibu na
yeye iliweza kusimama na Vikram aliweza
kushuka juu ya pikipiki ile.
Alianza kuitoa helmemt aliyoweza kuivaa lakini
kabla haijamtoka yote kichwani liliweza kupita
gari na kuwamwagia maji machafu hali iliyoweza
kumfanya Vikram aache kutoa helmet yake.
"Huyu...................... Anajifanya haoni amah
nini" alilalamika huku akitaka kuwasha pikipiki
yake kwaajili ya kumfuata lakini Alice alimzuia.
"Achana naye bhana alizungumza Alice
aliyeonekana siyo mpenda shari kabisa.
" adhabu mwenyezi Mungu aliyoweza kumpa
inatosha"
"Adhabu gani??
" ni kipofu huyo lakini anadharau sana
watu........pia hapatani kabisa na wanaume na
anamiliki kampuni Kubwa Kubwa zote Africa hiyo
ni kutokana na mali aliyoweza kuachiwa na Baba
yake. Alizungumza Alice aliyeonekana
kumfahamu vizuri sana Tropina.
****** ******* *******"
Upande mwingine alionekana mtoto mdogo
makamo yake miaka 9 akiwa amesimama njee ya
shule huku akitizama muda wake.
"Mbona dada Tropina hajafika mpaka sasa
alizungumza huku akiweza kutoa tablet yake na
kuanza kumtafuta dada yake.
" Larry unafanya nini hapo??? Aliuliza madam
wake aliyekuwa akimfuata Larry
"Unajua dada yako akikukuta njee ya geti
atagomba ingia ndani mpaka aje"
Ghfla aliweza kupigwa kikumbo na gari na
kudondoka chini hapo hapo mlango wa gari aina
ya Noah nyeusi ulifunguliwa kisha Larry
akatekwa na gari kuondoka eneo lile.
Wakati gari hilo likiondoka ndo gari la Madam
Tropina liliweza kufika pale.
Mwalimu alijitahidi kusimama ilihali alikuwa na
majeraha mengi huku walimu wengine wakitoka
njee baada ya kusikia kishindo kikubw baaada ya
sekunde kadhaa kupita.
"Umefanyaje??????
" Larry katekwa.!!!!
Ndyo kauli aliyoweza kuitoa na kauli hiyo iliweza
kupenya hadi katikati ya ngome za Tropina
aliyekuwa akishuka ndani ya gari lake. Mguu
wake mmoja ndyo uliokuwa umeteremka tu na
hkushusha tena mguu mwingine.
**** yalipitaa masaa7 *******
Na hakukuwa na habari zozote juu ya Larry
Vanessa ndiye aliyekuwa akiweweseka kwani
ndye mwanaye wa mwisho na kitinda mimba
wake.
"Nimesema nitatoa pesa yoyote ile mwanangu
tafadhali mtu asimdhuru na naomba mnipigieni
simu nmba zangu ni
........... Aliweza kutoa nmba zake na hapo hapo
aliingia Tropina na kusema.
" hakuna hela yoyote itakayoweza kutolewa
mahali popote kwasababu nmekufungia account
zote na wale walioweza kumchukua Larry
nawazidishia masaa7 mengine muwe
mumeshamrudisha Larry nyumbani na siyo
shuleni tena kwani nimechoka kutembea" baada
ya kusema hyo aliondoka na kupanda ngazi
Adrian alimtizama sana kwa hasira.
"Waaandishi wa habari nisikilizeni Mimi achaneni
na hiyo BINTI kipofu kwasababu tangu ajali ya
kifo cha bba yake anaishi kama mnyama na siyo
binadamu tafadhali naomba mnipigieni simu
nmba zangu tayri nimeshaweza kuzitoa kiac
chochote ntawapa nyie mlioweza kumteka.
Waaandishi wa habari walimtizama tu bila
kusema neno lolote kwani mwenye kauli ya
mwisho ni Tropina na siyo yeye.
**** **** *****
Bossi tufanyaj??? Ilikuwa sauti ya afande mmoja
akimuuliza mkuu wake.
" tufanye nini sasa ikiwa hata ndugu hakuna
aliyeweza kureport ya kuwa ndugu yao ametekwa
huyu Tropina sijui anaroho ya namna
gani.......sisi tuendelee tu kula ma apple
alizungumza huku akitupia kipande cha apple
mdomoni mwake na kutabasmu huyo alikuwa
mkuu katika kitengo cha polisi idara ya ulinzi na
usalama miaka yake haikupishana na Tropina
hata kidog pia alikuwa clasament wake hivyo
tabia za Tropina aliweza kuzifaham jina lake
aliweza kuitwa George pesambili.
"Ila ndani ya masaa3 watamrudisha wenyewe na
kama hawatamrudisha basi hii nchi itachafuka
ndani ya dakika20 tu na Larry atakuwa
amepatikana ,kwahiyo sisi tuendeleeni kula
jamani.
***** ****** *******
" halooo alionekana Adrian akipokea simu.
"Nawaambia ndani ya hayo masaa7 kaeni kimya
alafu tuone kama hatobadilisha mawazoyake
muuweni kisha mumtumie picha tutamuuza hata
akiwa marehemu alizungumza huku akiwa
anahasira sana.
Baada ya kugeuka nyuma tu aliweza kukutana
uso kwa uso na Tropina aliyekuwa nyuma yake.
"Kama nimeshindwa kuwapa pesa akiwa mzima
mnafikiri akiwa marehemu nampeleka wapi????
Nakupa masaa3 kama hajarudi hapa utanijua
Mimi ni nani? Alizungumza kisha akageuka
nyuma na kuondoka zake.
Adrian aliirusha simu yake chini kwa hasira kwani
game lake tayari limeshaweza kugundulika.
Aliyauma meno yake kwa hasira sana huku
akimtizama Tropina aliyekuwa akishuka chini.
" nakwambia ipo siku yako ipo siku yako maana
upofu haukutoshi ww bado unaakili sana"
aliyazungumza hayo Adrian.
** ** ** ** **
Huku nako alionekana Vikram akiwa anaelekea
nyumba moja kwani aliweza kupatiwa mzigo
aupelekee pale kutoka katika kampuni yao.
Alipofika alikuta ni kimya sana ndani hapo
alipogusa mlango uliweza kufunguka hivyo
alianza kuingia ndani taratibu kabisa na kwa
umakini wa hali ya juu kabisa.
Alisikia kelele zilizokuwa zikitoka kwenye TV
aliweza kusogea hadi kribu pale alimkuta Larry
akiwa anacheza game.
"Wewe wenye nyumba wako wapi??? Aliuliza
Vikram
Larry alimtizama bila kumjibu chochote kile.
" wewe mtoto si ninakusemesha"
"Inamaana Mimi sina muonekano wa kumiliki
nyumba???
Vikram alimtizama akaitizama na nyumba kisha
akamtizama tena.
" wewe mtoto nakuuliza bba yako yuko wapi???
"Kaburini"
*sawa na mma yako*
"Anaweweseka knitafuta Mimi" alijibu Larry.
Vikram alimtizama kisha akamuuliza dada yako
yuko wapi.
"Ananisikiliza nikicheza Game" alijibu Larry
Vikram alimpiga kwenzi la kichwa.
"Mpumbavu kabisa mtoto huna adab wewe mimi
ni wakiume siyo dada yako"
Larry alimgeukia na kumtizama kisha akamuuliza.
"Hivi unanijua Mimi ni nani???
" mtoto uliyekosa adabu tena unabahati Leo siko
kwenye mood ya kupiga watoto niambie bba na
mama yko wako wapi???
Larry alimkazia macho tu.
"Usinitizame Mimi" aliongea huku akimsukuma
kichwa Larry
"We mkaka kwanini unanisodola"
*kwasababu wewe ni wakiume lakini mjinga"
alijibu Vikram
Ujinga wangu uko wapi???
Akiwa anataka kumjibu Larry ghfla Larry aligusa
kitufe cha video bahati mbaya na kufanya taarifa
zake za kutekwa ndizo zilizokuwa hewani.
"Wewe mtoto hapa ni wapi??? Hapana
namaanisha hapa ndo nyumba uliyotekewa??
" ndyo" alijibu Larry kisha akauchukua mzigo
alioweza kuuleta.
"Niliwaambia sitaki bugger naitaji sandwiche"
Vikram alianza kurudi nyuma na bahati.aligonga
na na mtu.
"Kaka mtekaji Mimi hata sijui kama mmemteka
mtu kwanza Mimi ni bubu huwaga sioni kwahiyo
naomba niondoke.
Alipopiga hatua ya mbele zaidi alikutana
mwingine.
" Kaka jambazi nawaapia ya kuwa kwetu hatuna
mali kabisa na Mimi ni kiziwi jamni sioni"
"Mimi sijawahi kuona kiziwi asiyeona bali kipofu"
Vikram alibki akitizama tu bila kusema neno.
Ndyo Mimi ni kiziwi na bubu sioni.alizungumza
Vikram nakuanza kuondoka.
"Uncle kwahiyo ukitoka hapa unaenda
kumwambia dada ya kuwa nimetekwa katika
nyumba hii?? Aliuliza Larry
" hako katoto katakuwa kanawasemesha nyie
siyo Mimi" alisema Vikram.
"Uncle Vikram naongea na wewe"
"Vi.....vi.....Vikram amelijuaje jina langu??
Alijkuta akiropoka na kuwauliza magaidi wale.
" hapna kwanza mm siitwi Vikram bali Joseph "
alianza kuondoka lakini ghfla alivutiwa ndani na
jambazi mmoja.
"Tropina ndo amekutuma cndyo?? Aliuliza huku
akitoa kisu chake
Unafikiri ni kipi kitamkuta Vikram basi usikose
muendelezo
 
: BINTI KIPOFU
Sehemu:02
Mtunzi: Salma Rashid
Like na share simulizi hii mara nyingi uwezavyo
ili kupata nafac ya kujishindia cmulizi hii mwanzo
mwisho.
Ilipoishia.......
Tropina ndiye aliyekutuma sindiyo.
Sasa tuendelee
"Unaongelea nini wewe.....mimi hata simjui huyo
mwanamke ni nani mimi nimekuja kuleta order
kama mlivyoagiza kwenye kampuni yetu.
Alipo alijitetea Vikram akimtizima Larry ambaye
alikuwa akicheka.
Baada ya muda kupita wote walikuwa ndani ya
chumba kimoja huku Vikram akiwa anahangaika
huku na kule.
" we Kaka si ukae" alisema Larry.
"Tena wewe nyamaza unadhubutuje kusema ya
kuwa mimi nikae ilihali nimetekwa na yote ni
wewe chanzo kwani walikuwa tayari
wameshaniachia lakini wewe kwa ujinga wako
ndo umenisababishia haya....tena ningelijua hichi
kitambulisho ningekificha wala usingeweza
kulitambua alizungumza huku akiendelea
kuzurura ndani ya chumba kile
.........lakin ngoja we si umesema dada yako ni
mtu mwenye pesa sasa kwnini asitoe sisi
tuachiliwe.
" ameshasema hatoi hela na anawapa masaa3 tu
wawe wamenirudisha"
"Huyo dada ako kichwa chake hakina tofaut na
chakwako maana wewe umekaa kabisa na game
unacheza utafikir hujatekwa au hawa majambazi
siyo wakali nini?? Aliuliza na kumfanya Larry
acheke.
" unacheka nini wewe mjinga?? alizungumza na
kumpiga kichwa chake.
"Hivi mbona unanichukulia mimi wakawaida sana
majambazi wenyew hata kuninyooshea kidole
hawajazubutu lakini wewe tangia uje unanipiga
tu" aliuliza Larry
"Sasa unataka nikuchukulie wewe wa special
kwani umeumbwa kwa maji. Mitoto mingine
mijinga kweli na huu ujinga itakuwa umejifunzia
kwa hyo mpumbavu dada yako ambaye hataki
kutoa hela sisi tuachiwe"
"Sisi tuachiwe au mimi niachiwe......nitaachiwa
mwenyewe wewe tafuta njia ya kutoroka
mwenyewe" aliongea Larry.
"Muone huyu mpuuzi" aliongea Larry na
kumsukuma tena kichwa Larry.
***** ****** *******
Alice alionekana akiwa anaokota mafaili
yaliyoweza kudondoka chini kutoka katika kabati
moja.
Mlango wa chumba hicho ulifunguliwa na aliingia
Adrian akiwa amevimba kwa hasira.
Alice alimpa heshima bila kusema kitu kisha
akaanza kutoka njee akiwaa anapiga hatua za
kutoka njee Alisikia mlio uliomfanya ageuke
nyuma na kukuta Adriana ameweza kupiga ngumi
picha ya Tropina iliyokuwa ndani ya ofic hiyo
hadi damu zikaanza kumtoka.
Alice alirudi kisha akatoa kitambaa chake na
kuanza kumfuta damu zilizokuwa zikitoka katika
mkono wake.
"Huyu mpuuzi kipofu huyu" hyo ndyo maneno
aliyoweza kuyasikia Alice akilalama Adrian.
Simu yake iliita na aliutoa mkono wake kwa Alice
kisha akamtaka atoke njee.
"Nani........ Kijana gani.......Vikram.....na nyie
mmemuweka ndani waachieni wote alafu
hakikisheni ya kuwa mnamrudisha hadi nyumbani
mimi nitawalipa kwa kazi yenu" baada ya
kumaliza alikata simu.
Aliitizama picha Kubwa ya Tropina aliyoweza
kuipasua ikiwa chini kwa hasira sana.
******** ******* ********
Larry pamoja na Vikram waliweza kupelekwa hadi
nyumbani na kuwekwa njee ya geti kisha
wakaondoka zao.
Baada ya kufika pale tu walitoka walinzi wanne
njee na kuanza kumfungulia Larry kitambaa
alichoweza kufungwa machoni waliweza
kulichukua begi lake walimtizama Vikram
aliyekuwa akihangaika kujifungua kamba
aliyoweza kufungwa mkononi lakini alishindwa.
"Hivi inamaana mimi sionekani au?? Aliuliza
baada ya kushindwa kufungua kamba aliyoweza
kufungwa nyuma.
" Vikram natumaini tutaonana zaidi aliongea
Larry kisha akatoa amri ya asifunguliwe kamba
bali apelekwe katika kampuni yake.
"Nyie mnanipeleka wapi?? Aliuliza Vikram
ambaye alikuwa akivutwa na asijue ya kuwa
anapelekwa wapi.
" aise nyie ni majambazi tena amah wewe mtoto
waambie waniachilie hawa watu akiendelea
kuzungumza Tropina alikuwa akitoka njee baada
ya kuzisikia kelele ambazo hazikueleweka
masikioni mwake.
Alipokanyaga mguu wake mmoja njee ya geti na
ndipo mguu mmoja wa Vikram uliweza kuingizwa
ndani ya gari alipoweza kuutoa mguu wa pili na
mguu wa Vikram nao uliigizwa ndani ya gari
kisha mlango ukafungwa.
"Ni kelele zanini hizo?? Aliuliza Tropina na wote
wlitoa heshima kwa kuinamisha vichwa vyao.
Kwa mtu yoyote ambaye angefanikiwa kumuona
Tropina kwa mara ya kwanza wala asingeliweza
kuamini ya kuwa yeye ni kipofu kwani macho
yake yalikuwa wazi na aliweza kuyapepesa kwa
jinsi atakavyo pia nyumba anayoishi yeye
alitembea pasina kupata muongozo wa mtu
yoyote yule wala kutumia fimbo ya kipofu kama
watumiavyo vipofu wengine. Aliweza kumtambua
kila mmoja kwa harufu pamoja na sauti yake
kwani alikuwa na uwezo mkubwa wa kukariri
kitu.
" mpelekeni kwenye kampuni yake" alitoa kauli
hiyo Larry na watu wawili waliweza kupanda
ndani ya gari baada ya kutoa heshima na
kuliondoa gari eneo lile.
"Hivi mimi natoa amri ya kuulza na wewe unatoa
amri ya aondolewe eneo hili?? Aliuliza Tropina
aliyeweza kumgeukia Larry.
" kwasababu ni mgeni wangu mimi nani Shemeji
yangu mimi wewe hakuhusu" alijibu na kuelekea
ndani.
"Shemeji" alirudia neno lile huku akishindwa
kulielewa.
**** **** *****
Vikram akiwa na Alice huku akimuhadithia mmbo
yote yaliyoweza kutokea.
"Siamini macho yangu kwamba katika duniani
bado kuna watu wanateka watu kwaajili ya pesa
badala watafute zao.........lakini na ndyo nimeona
maajabu ya mtu kutekwa alafu akarudishwa
nyumbani kwao bila hata senti tano.
Dah kweli duniani watu wanaonyesheana ubabe
balaa alizungumza huku akicheka.
" unabahati ya kuwa ulitekwa na mtoto wa kitajiri
ndo maana ukaachiliwa ukiwa hai kama sivyo
tungekuw tunaomboleza hapa alimalizia
kuzungumza kisha akainuka alipokuwa amekaa
na kuutizama mwezi juu kwani walikuwa
wamekaa njee katika nyumba ya kina Alice
aliyoweza kupangisha Vikram ambaye alikuja
kuwa rafiki mkubwa sana wa Alice.
"Vikram" aliita macho yake yakiwa juu ya mwezi.
Vikram aliitika kisha akasimama alipokaa na
kumfuata Alice kisha kumtizama anatizama nini
na yeye akaweza kuutizama mwezi.
"Mama yangu huniambiaga ya kuwa pindi
unapoona mwezi umeng.ara namna hii basi
omba kitu chochote kile juu ya mwezi huo na
maombi yako yataweza kujibika kwa haraka
zaidi"
"Na wewe unaamini hilo??!! Aliuliza Vikram.
" ndyo kwani mara niombpo basi kile
ninachokiomba huweza kutimia"
Vikram alitingisha kichwa kisha akaikutanisha
mikono yake na kuutizama tena mwezi kisha
akasema.
"Eeehhhh mwezi naomba imni hii aliyonayo huyu
binti basi imtoke"
"Vikram acha utani embu omba kile unachoweza
kukihitaji katika maisha yako na ufunge macho.
Vikram pamoja na Alice waliweza kfunga macho
na wote wakaomba vile wavipendavyo katika
maisha yao.
Alice alikuwa wa kwanza kumaliza kisha
akamtizama Vikram na kusema kimoyomoyo.
" natumaini utaomba kile nilichoweza kukiomba
mimi"
***** ****** ******
Vikram akiwa anakuja katika kampuni ya
kusambaza vyakula alishangaa baada ya kuona
ya kuwa takribani wafanyakazi wote
wanamnyooshea vidole yeye.
"Kuna nini tena leo huku jamn" alijiuliza huku
akitizama kulia na kushoto kma mtu mwingine
tofauti na yeye.
Alijikaza akatembea hadi alipofika counter
ambako nako James aliyekuwa mhudumu wa
hapo na rafiki yake kipenzi na yeye alibaki
akimtizama.
"Kuna nini leo jamaa angu?? Au nimekosea kuvaa
nini mbona mnanitizama hivyo?
Kabla hajajibiwa swali lake aliingia director wa
kampuni hyo ya Japhary Food & Fast supply.
" Vikram nikuone ofisini mara moja" alitoka amri
hiyo huku akitembea kinyonge na kuingia ndani
ya ofisi yake.
"Eeeeheeee mungu wangu jana tu niliomba
nipate kazi yenye ubora leo naitwa kufukuzwa
kazi heri hata nisingalimuamini Alice yeye ndo
chanzo cha yote hayo" alilalama huku akiendelea
kuingia ndani.
Baada ya mud kidogo yeye ndiye aliyekuwa mtu
wa kwanza kutoka ndani ya ofisi ya Director
akiwa amenyong.onyea sana na akitembea kama
mtu aliyeweza kushindwa maisha.
"Imekuwaje tena Baba mbona unatembea hivyo
na nilisikia habari nzuri kukuhusu wewe" aliuliza
James akimtizima Vikram.
Vikram alidondosha begi lake chini kisha akaanza
kushangilia kwa furaha kutokana na taarifa
alizoweza kuzipata.
Baady alionekana Alice akiwa anazungumza na
simu.
*kwahiyo unasema umeambiwa uwe una suppy
sandwich katika nyumba ya Madam Tropina
pekee yako na utakuwa ukipeleka kwa gari
ambalo umenunuliwa naye na mshahara wako
umeongezwa........mmmhhhh hivi unauhakika ni
Madam Tropina mwenyeww ndo katoa kauli
hiyo?? aliuliza tena Alice.
"Mimi huyo Tropina simjui namjua yule mtoto
maana ndo nilitekwa naye kwasababu nilimtreat
vizuri tukiwa kule labda ndomaana Tropina
akaamua kunipa ofa hiyo"
****** ********* *****
Alionekana Vikram akiwa amevaa suti yake
nyeusi na akiwa anashuka ndani ya gari jeuc
baada ya kuendeshwa aliweza kushuka na boksi
dogo aliloweza kilibebea tumboni alionyeshwa
mlango wa kuingilia na wafanyakazi waliokuwa
mlangoni.
Alipoingia ndani aliweza kushangaa kwani
nyumba iliweza kumeremeta kwa vito vya
dhamani huku asilimia Kubwa ikiwa ni dhahabu
palikuwa mchna lakini taa ziliwezwa kuwashwa
ndani kwaajili ya kuleta mwanga mzuri
utakaoweza kuwavutia watu.
Akiwa anaendelea kushangaa na kutembea
tembea pale ndani aliweza kumuona msichana
mmoja akiwa anakuja eneo lile.Alisimama pale
na kumtizama msichana kutokana na alivyoweza
kumvutia kwa kumuona kwake tu ila sasa
hakuwa msichana bali Tropina.
Aliweza kumpita Vikram.
"Wewe Binti inamaana hujaniona au ni dharau??
Aliuliza bila kujua ya kuwa hapo anajitafutia
matatizo.
Tropina aligeuka na Vikram aliamini ya kuwa
Tropina anamuona.
" nimekuja hpa kwa Mara ya kwanza ila kidogo
nyumba hii inanichanganya yule kichaa mdogo
yuko wapi..... Sijui hata anaitwaje tena lakini
katoto kamoja kana kama miaka9 au 10 yuko
wapi??
"Hivi hayo maswali unamuuliza nani?? Aliuliza
Tropina baada ya kuona kuwa mtu hyo anajifanya
hamfahamu.
" we ni mjinga nini kwani hapa ndani tuko
wangapi zaidi ya mimi na wewe aaaaaaiiiiiiiis
hshshshsh hii nyumba itanishinda kama
wanaokaa humu ndani wanadharau hivyo sasa
huyo Tropina ninaye ambiwa si atakuwa balaa"
alizungumza Vikram
"Unadhubutuje kusema Tropina pasina
kutanguliza Madam" aliuliza Tropina baada ya
kuhisi ni dharau.
"Madam wa nini........wamuite hao anaowalipa
mshahara kwanza mimi kumuita mwanamke
Madam siwez.... Kwanza nahangaika kuongea na
taira badala nitafute mtu mwenye akili timamu
humu ndani" alizungumza na kugeuka nyuma
huku alianza kuita heloow jamn kuna mtu
anayeweza kujielewa humu ndani.
Aaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh zilisikika kelele
kutoka nyuma ya Vikram na hiyo ilikuwa sauti ya
Tropina.
 
Hii hadith siwezi kuendelea kuisoma maana lugha iliyotumika ni ya kimitandao ya kijamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom