Wimbo wa 'My Heart Will Go On' ni kati ya nyimbo zilizompa umaarufu mkubwa na kumuongezea utajiri Celine Dion, kupitia wimbo huo aliouimba akiwa na umri wa Miaka 29 wakati huo ulikuwa ‘soundtrack’...
MAPENZI NA KISASI
Riwaya ya Kiswahili
Mandhari: Dar es Salaam na Kigoma
Wahusika Wakuu:
Juma: Kijana maskini lakini mwenye ndoto kubwa, anayetumia roho yake safi na juhudi kumpata mpenzi wake...
Yaani nyimbo inaitwa back to my roots
Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni
Yaani zile ngoma na gitaa balaa,
Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa...
Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo
Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa...
Mara kadhaa nimekutana nao ila ukiwa vipande vipande kupitia TBC.Baadhi ya mashahiri ambayo hata sielewi wanamaanisha nini,wanaimba"jiwe jiwe jiwe lanichoma choma...nikimkumbuka Mama jiwe...
Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii...
Wakuu kati ya ngoma nazopenda kusikiliza sana mojawapo ni ya Rado kiraka-Usiulize, producer alifanya kitu roho inapenda sana.
Nick Dizzle apewe maua yake Wallah, 2008 hiyo.
Zipo nyingi ila hii...
GUY RITCHIE'S THE COVENANT (2023)
_____________
▪️ Genre: War, Action, Drama
▪️ Date: April 20, 2023
▪️ Rate: 7.5/10 IMDb
▪️ Time: 2h 3m
▪️ Director: Guy Ritchie
▪️ Main characters:
Jake...
Mtunzi.Patrick CK
Season 1.SIRI
Simu.0764294499
Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya...
Habari wakuu,
Kwa members wenzagu wa 90 's n below nadhani tunaweza kumbushana baadhi ya TV series zilizotamba sana enzi hzo ambazo ikifika mida hiyo familia nzima either nyumbani au kwa kuzamia...
wakuu habari,nahitaji kujua site nayoweza kupakua muvie za hollywood,kihindi,kichina nk hata kwa kulipia.
kuna moja huwa naisikia "Netflix"vp ipoje,ina udhaifu gan?
Kwa wale wapenzi wa drama hii sio ya kukosa.
Mi nilivyoanza kuiangalia mwanzoni niliona kama
inaniboa ila nilivyoendelea sikutamani iishe aise.
Kuna drama za kufa mtu, kila mtu anam'play'...
Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq...
Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa...
THE TOMORROW WAR (2021)
_______
Genre: Sci-Fi, Action, Thriller
Duration: 138 minutes
Rating: 6.6/10 (IMDb)
Origin: USA
Director: Chris McKay
_______
SHORT STORY BEHIND
Ujumbe wa dharua...
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani.
“Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi”
Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.