Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa...
2 Reactions
6 Replies
677 Views
THE TOMORROW WAR (2021) _______ Genre: Sci-Fi, Action, Thriller Duration: 138 minutes Rating: 6.6/10 (IMDb) Origin: USA Director: Chris McKay _______ SHORT STORY BEHIND Ujumbe wa dharua...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani. “Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi” Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay)...
7 Reactions
81 Replies
3K Views
Sio kwa ubaya. Yaani mida hii ni mawe juu ya mawe. Sio poa.
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu...
3 Reactions
6 Replies
737 Views
https://www.instagram.com/p/DGslSQOCtAr/
0 Reactions
0 Replies
183 Views
𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : Centieme dossier 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : FALLY IPUPA 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄 : SULE MKANDARASI "𝙅𝙚 𝙠𝙪𝙢𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙬𝙚𝙣𝙯𝙖 𝙨𝙖𝙝𝙞𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙣𝙖𝙮𝙚 𝙣𝙞 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙖𝙢𝙖 𝙟𝙞𝙩𝙖𝙝𝙖𝙙𝙖 𝙯𝙖 𝙢𝙩𝙪?? 𝙅𝙞𝙗𝙪 𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙣𝙖𝙡𝙤. 𝙄𝙡𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙝𝙞𝙠𝙞 𝙠𝙞𝙗𝙖𝙤...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mziki wa JAZZ mimi kwangu nilianza kuupenda kipindi cha miaka ya 90 katika king’amuzi cha DSTV kulikuwa na upande redio zilizokuwa zikiwa na mtiliiko wa JAZZ. Mziki wa jazz ni aina ya muziki...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Daydream, I fell asleep amid the flowers For a couple of hours on a beautiful day Daydream, I dreamed of you amid the flowers For a couple of hours, such a beautiful day! I dreamed of the places...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Aje wadau, Tuchangamshane kwa kutambua lyrics za nyimbo mbali mbali, andika lyrics wadau wajaribu kuzitambua ni za wimbo gani kwa kutaja jina la wimbo, tukifeli unatusaidia kushare wimbo husika...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani...
5 Reactions
44 Replies
13K Views
Duuh leo nimeona Huko Youtube jambo la Kunishangaza sana, sijui kama ni kwlei au la ila limenishanagza Mno. hivi haya mambo ya ushirikina Kumbe yako Seriously hivi? Hebu msikilize huyu dada...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi...
1 Reactions
8 Replies
748 Views
March 7 mwaka 1985 baadhi ya wasanii waliounda kundi la “USA for Africa” walitoa kibao cha We are the World. Lengo kuu la wimbo "We Are the World" lilikuwa ni kukusanya fedha kwa ajili ya...
2 Reactions
10 Replies
719 Views
[Nyerere Talk:] Na kwa sababu Mjinga Akishaambiwa inakwisha Si kwa sababu Ujinga Ni kutojua Maana hujui lilifanyika nini Sasa Ukielezwa Ujinga wako unakwisha Now You Know Ujinga Ni Ignorance...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
WEWE SIO TYPE YANGU Mwanamke epuka kumuambia mwanaume wewe sio type yangu, wewe sio wa hadhi yangu, wewe huwezi kunimudu, katafute masikini wenzako huko Mimi ni wa viwango vya juu kama huna pesa...
3 Reactions
12 Replies
795 Views
We no know how we and dem a-go work this out,oy We no know how we and dem a-go work it out But someone will have to pay For the innocent blood That they shed every day Oh,children,mark my word...
2 Reactions
1 Replies
310 Views
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...." Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke...
1 Reactions
83 Replies
3K Views
Back
Top Bottom