Baada ya kuona kuwa nyumbani kunanichosha jioni ile, nikaamua niende katika baa iliyokuwa mtaa wa nne kutoka katika nyumba niliyokuwa naishi.
Pindi nilipowasili katika lango kuu la baa nililakiwa...
Serikali iache ukale.
Mambo yamebadilika, jeshi sio nguvu, jeshi sio adui wa mwananchi bali rafiki wa mwananchi.
Wasanii wa vichekesho wapate vibali vya kuvaa nguo za jeshi au zinazolingana na...
Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa.
TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax.
My favorite so far:
1. Young...
Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote.
Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu...
TITLE: RIPOTI YA MKAGUZI.
SEHEMU YA KWANZA.
NDANI-OFISI YA MZEE WOTA.
Mzee Wota, Bwana wa miaka 60 hivi, ameketi akiwa makini akisoma kilichopo kwenye Lap top, huku akibofya keyboard ya Lap top...
Wakuu!
Hivi suala la Mdundo wa Taifa limeishia wapi? Au fedha za Watanzania zilitumika bure?
Kamati iliundwa, ikazunguka nchi nzima kukusanya sampuli na elements kutoka kwa kila kabila, juhudi...
Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa.
Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za...
Katika kuleta ubunifu na ufanisi kwenye ufundishaji, Mwalimu Kalesi ameibua hisia mitandaoni baada ya kutumia wimbo maarufu wa msanii Mbosso, "Pawa", kufundishia wanafunzi wake darasani.
Kipande...
Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
Filamu ya kipekee iitwayo "100 Years" ilitayarishwa mwaka 2015 lakini haitatolewa hadi mwaka 2115. Mradi huu, ulioongozwa na Robert Rodriguez na kuandikwa na kuigizwa na John Malkovich...
SIMULIZI.
MSITU WA VIFO:
MTUNZI.
Dogoli kinyamkela ☠️💀.
Songa nayo........
SEHEMU YA KWANZA: MLANGO USIOONEKANA
Usiku ulikuwa mzito. Anga lilitapakaa mawingu meupe yaliyofunika mwezi kana...
Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates.
Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna...
Wakuu,
Kwenye haya maisha kwa kweli hamna kitu muhimu kama kujichagulia angle yako.
Leo nilikutana na wimbo mmoja wa msiba wa Marehemu Komba. Kiukweli huyu jamaa alikuwa ni genius.
Kuna ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.