Wana jamvi leo nawaletea stori ya maisha niliyopitia, harakati za maisha, mapenzi, uonevu fitina na uchawi vyote utavipata hapa, ni true stori, lakini majini ya vijiji na watu nitabadilsha kwa...
Freedom or jail, clips inserted
A baby's bein' born same time a man is murdered
The beginning and end, so far as rap goes
It's only natural, I explain my plateau
And also what defines my name...
Jina langu ni Juma. Miaka mitatu iliyopita, nilikuwa kivuli cha mwanadamu – niliishi mitaani, nilitegemea bangi, heroini, na kila aina ya dawa ya kulevya kupumua. Nilikuwa nimepotea. Nilikuwa...
JF huwa ni moja ya sehemu zangu za kujiburudisha hususani kwa ‘ID’ hii. Kwa kuwa nimepata muda kidogo wa kuandika na tarehe ya leo ni kumbukumbu yangu ya siku ya kuzaliwa, nimeona nianze kuwaletea...
Mimi sio mambo yangu sana haya, ila hii kombolela wanajitahidi sana, Imeweka familia yangu watoto na wife muda wa jioni wanajumuika pamoja
Angalau sahivi hela zangu za kulipia kifurushi haziendi...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA...
HAKUNA ALIYE SALAMA
Mtunzi: Robert Heriel
0693322300
Chungu cha 01
Kinu alikuwa ameketi kwenye wheelchair, akitingisha kichwa chake kwa taratibu, udenda ukimtoka mdomoni. Macho yake yalikuwa...
Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika...
Ni rahisi kuziita common confused terminologies ambapo wapo wanaojua tofauti kati yao na huzichanganya kimazoea lakini wapo wanaotumia dhana hizi kwa kuzichanganya pasipo kujua tofauti zao. Hawa...
Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote.
https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee.
Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
Simulizi; NITAMLEA
Mtunzi; Robert Heriel
+225693322300
Taikon Publisher Presents
Chungu 01.
“Kosa lake nini mpaka nimuue mtoto huyu asiye na hatia? Sitaki kuingia kwenye majuto ya kukitoa...
ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa...
Malcolm-Jamal Warner, muigizaji maarufu wa Marekani aliyeng’ara kupitia kipindi cha "The Cosby Show," amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54, Taarifa zinasema Warner alifariki kwa kuzama majini...
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora...
Tujikumbushe movie za Kihindi zilizotubamba enzi hizo. Aishwarya Rai, she is called the most beautiful woman in the world
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMISHWA FILAMU HIZI
Habari ya weekend...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.