Shikamoo Fid Q, salute P Funk

Shikamoo Fid Q, salute P Funk

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
Habari wanaJF leo August 13 ni siku ya kuzaliwa wa mwanamuziki Fid Q basi jamaa ameamua kuachia wimbo mpya unaoitwa "Bongo Hip Hop" ukipata nafasi itafute jamaa amechana kwa kiwango ba Majani ameibariki michano hiyo kwa Beat kali na mixing za hatari. Pia jamaa ameshiriki kwenye Chorus.

Lakini wimbo huo ulishawahi kurekodiwa Tongwe Records lakini Quality yake iko poor tofauti na hii aliyorudia kwa Majani.

Wapenzi wa Hip Hop tafuteni mzigo huu ni hatar tupu.

Nawasilisha
 
Believe me nimesikiliza version zote mbili, japo hii version ya Tongwe aliyomshirikisha Jay Moe nimesikiliza nusu lakini ina snare fresh zaidi ya hii version ya Bongo Recz.
 
Unapatikana Utube? Au naweza kuusikiliza mtandao gani??
 
katumia busara sana kutoiachia ile ya tongwe records!nilibahatika kuisikia hiyo ngoma kwa j murder!......alichokifanya juma mchopanga katika kibwagizo katika ile ya tongwe records ni shida
 
Lakini me naona Ya Majani ni kali mno
 
Believe me nimesikiliza version zote mbili, japo hii version ya Tongwe aliyomshirikisha Jay Moe nimesikiliza nusu lakini ina snare fresh zaidi ya hii version ya Bongo Recz.

Hah Snare za Tongwe ni nux mbona lakini me naona ya Majani taarifa nyingine kwa upande wa quality
 
beef linakuja hapo kwa nini amtoe jay moe
 
Nimesikiliza verson ya FID Q na Majani as usual mashairi makali but sijaridhika sana na production ya PFunk,kama ningesikiliza version ya Tongwe ningetoa maoni zaidi
 
kwakua ni maoni yako lakini quality ua Majani ni nux
 
Nyimbo ya kwa majani ndo kali sana ile ya tongwe sauti imebanwa kama anaimba taarabu bhana! Namkubar sana FID Q.
 
iko poa kwa mbali beat inasound kama pop them thang
 
Nimeisikiliza ni nzuri ila idea yake ni kama ule wimbo wa Roho saba Nakupenda Hiphop.
 
Super duper Majani ni SHIDAH MPYA aisee...

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom