Alikiba hajitumi yupo yupo tu kazi kulialia

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,184
Mimi ni mshabiki wake lakini jamaa haeleweki kuwa kaacha mziki au bado anaimba. Inshort ni mvivu na hajitumi kazi kulialia tu kuwa anafanyiwa fitina na ngoma zenyewe anazotoa hazionekani yani yupo yupo tu.

Wenzake kila kukicha wanaachia ngoma mpya kuteka soko yeye yupo yupo tu analialia anafanyiwa fitina na ngoma hatoi, kuwa mshabiki wa huyu ni kazi sana aisee.
 
Me kusema kweli huwa sielewi mtu anayesema anafanyiwa fitina wakati bidii ya kazi zake hatuioni.
We mtu ngoma unatoa mbovu then unasema unafanyiwa fitina. Wapi na wapi wakati wenzio kazi zao tunaziona.
 
hatari sana alafu anajiita king labda wa misukule
Me kusema kweli huwa sielewi mtu anayesema anafanyiwa fitina wakati bidii ya kazi zake hatuioni.
We mtu ngoma unatoa mbovu then unasema unafanyiwa fitina. Wapi na wapi wakati wenzio kazi zao tunaziona.
 
"UMKOME"
alishasema aliibiwa penseli,sasa amenunua penseli nyingine ya kuandikia mashairi sasa mpinzani wake akaamua kununua ufutio

Kila akiandika anakuta jamaa amefuta mashairi ndio maana hatoi ngoma
Labda umnunulie Kalamu ya Wino.
 
Aisee!! hivi nyie watu mbona hamfanyi mabo yenu bila kuwataja aidha Kiba au Clouds?
Mbona sioni nyuzi wanazoandika kuwahusu ninyi?
Kila siku lazima mfungue uzi kuwahusu aidha Ali Kiba au Clouds ni kwanini hasa?
Mimi nawashauri mfanye mambo mazuri then hadhira itaona tu.

Acheni kuhangaika na watu kila kukicha.
 
watu wanasema kiba ameisha ajabu kila siku wanamuandika
 
Anadai kaibiwa Penseli na mondi na hajui ni Nani kaiba kichongeo na mkebe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom