WCB bila kiki wanapotea

WCB bila kiki wanapotea

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,243
Reaction score
11,449
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki za kutosha ili wakiachia moja unakuja na nyingine wakija na nyingine wanakuja na nyingine.

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
 
Umenena... Sema kwa lugha isiyofaa kabisaa!
 
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
Mkuu heshim wazazi wa mwenzako ili na wako aheshimike
 
Minataka hawe anazungumziwa mbaraka abdul bila kumtaja nassib abdul wa WCB

Sidhani kama itawezekana, never.

SIMBA ni SIMBA atamla tu kama alivyo wala swala wenzie
 
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki za kutosha ili wakiachia moja unakuja na nyingine wakija na nyingine wanakuja na nyingine.

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
ahaaaaaaaaaaah nilijua ni baharia, kumbe ni shoga .usifananishe WCB na ujinga wowote hapa Tanzania ili ni onyo ukirudia ,hatua kali za kisheria zitachukuliwa so be carefully with your heart go and sleep ebooooooh.
 
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki za kutosha ili wakiachia moja unakuja na nyingine wakija na nyingine wanakuja na nyingine.

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
Hapo ukute huna hata uhakika wa mlo wako wa usiku..Acha upumbafu makalio were tafuta pesa
 
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki za kutosha ili wakiachia moja unakuja na nyingine wakija na nyingine wanakuja na nyingine.

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
Uchawi sio mpaka manyanga, kwa hiyo watu waache kufanya mambo yao mjini kisa Harmonize, pumbaafffff sana wewe
 
Na inawezekana mawazo yako yapo sahihi

Huenda wameona mziki wao unashuka kwa kukosa wa kushindanishwa nae
Wameamua kushindana wenyew wazidi kupiga hela
Watu wabunifu, huwezi jua.
 
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.

Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki za kutosha ili wakiachia moja unakuja na nyingine wakija na nyingine wanakuja na nyingine.

Kwa mtindo wao huu usishangae Diamond akaja achia picha za utupu, au za yule uncle wake na mama yake.

Go Harmonize the platform is yours
kiazi kibichi we,mbupu teta wewe huna kazi za kufanya?
 
Back
Top Bottom