Wale Wadau wa Pub G Mobile tukutane hapa

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,711
8,013
Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa.

Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au Miramar. Vipi kuhusu Zombie mode? Tunaweza kupambana na wakina Levinho na Panda? Bunduki gani unazipendelea sana?

Ulishapiga Chicken dinner mara ngapi na ipi ilikuwa ngumu. Na mengine mengi.

Karibuni wadau.

images.jpeg
 
Binafsi ni mpenzi wa games ila kwa hii bado sijawahi pakua selewi ninapata uzito gani.
Labda km nikipewa maelezo ya kunishawishi kupakua nilipakue. Nianze kupambana nlo.
 
Simu yako iwe na ukubwa wa 1GB Ram ndio inasapoti... pia yenyewe ina ukubwa wa 1.something GB
 
Simu yako iwe na ukubwa wa 1GB Ram ndio inasapoti... pia yenyewe ina ukubwa wa 1.something GB

Hapa vipi naweza nika licheza au ram bado, haita nipa radha.
 
Attachments

  • Screenshot_20191111-072941_Device Information.jpg
    Screenshot_20191111-072941_Device Information.jpg
    57.6 KB · Views: 1
Binafsi ni mpenzi wa games ila kwa hii bado sijawahi pakua selewi ninapata uzito gani.
Labda km nikipewa maelezo ya kunishawishi kupakua nilipakue. Nianze kupambana nlo.
Uwe na simu ya kuanzia RAM 3GB brother
 
Uwe na simu ya kuanzia RAM 3GB brother
Ok
So simu infact ni 3gb ram but ram inaonyesha iko used mpk imesalia kiasi cha 4.3...ram(free space)

Daa naona kulikosa kabisa kabisa.

Pia linachezwa online au offline?
 
Game ni online,,unacheza na member wengine kibao dunia nzima...very reality and addictive game....Play store na Samsung store lipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom