Hawa watoto walioimba wimbo huu ningeweza kuwapa tuzo ya wasanii bora kwa mwaka 2019

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,455
6,934
Ni hawa waliomba wimbo huu hapa:Au huu hapa kwa mp3 format:
 

Attachments

  • GodFather - Nyerere(Miaka 20 ya Baba wa Taifa).mp3
    9.6 MB · Views: 2
Akili za Watanzania, wanamsifu Mkapa kujenga Uwanja, wakati yeye ndio kaharibu mfumo mzima wa mchezo TZ pale alipofuta michezo shuleni

Wanamsifu Nyerere wakati katuachia KATIBA mbovu, inatutesa hadi hii leo..
 
Akili za Watanzania, wanamsifu Mkapa kujenga Uwanja, wakati yeye ndio kaharibu mfumo mzima wa mchezo TX pale alipofuta michezo shuleni

Wanamsifu Nyerere wakati katuachia KATIBA mbovu, inatutesa hadi hii leo..
Nyerere alisimamia kupoka ushindi wa Maalim Zanzibar 1995. Toka hapo CCM wamekuwa wakimuenzi kwa kuwanyima kina Maalim ushindi kadri watakavyo
 
Tuliokuwa maeneo fulani ndio tunajua kuwa ujanjaujanja upo kama kawaida ila walioko Uswazi hudanganywa kuwa hakuna ujanjaujanja.
Big up wanajua kuimba na video ni nzuri.
 
Back
Top Bottom