Westlife, NSYNC na Backstreet Boys

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,868
3,624
Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza

Kundi gani lilikubamba na kwanini?

NSYNC walitamba na ngoma nyingi ila huu wa THIS I PROMISE YOU wakiongozwa na Justin Timberlake. Westlife Walibamba sana leo nakupa hii ngoma ya SOLEDAD wakiongozwa Shane Steven Filan. Backstreet Boys ngoma zao pia zilifunika sana, mimi nakupa huu "show me the meaning of being lonely" wakiongozwa na 'Howie D'

Taja kundi unalolikubali ukitaja na ngoma zilizokuvutia zaidi

Mimi nlikuwa mpenzi wa Backstreet Boys na my favorite song ilikuwa QUIT PLAYING GAMES WITH MY HEART

Tiririkeni wadau

es.jpg



imgres.jpg



s.jpg
 
Heheeee...enzi hizo ilikua ni mwendo wa kukariri hizo songs na kumwimbia mbebe..basi walikua wanapagawa sana..hasa watoto wa kishua...na akikupenda zaidi anakuandikia barua zen dedicatio song lazima aweke soledard.
 
Mkuu kuna Michael Learns to Rock,hawa jamaa nao walikua wakali kinoma. Kuna ngoma yao inaitwa Love will never lie inabamba mpaka leo ukiisikiliza.
Nakubaliana na wewe, kulikuwa pia na madogo wa B2K na nyimbo kama Girlfriend nao walishika kipindi fulani.
 
98 Degree. Kuna jamaa wanaitaa Boyzone. Michael Learns to rock. Aboubakar sadiq upo wapi iku hizi
 
Kwangu mimi Westlife nawachagua muda wote ndio best kwangu ingawa hao Backstreet Boys walikuwa sio wa mchezo mchezo huu, ushindani ni sawa kushindanisha Sean Paul vs Shaggy.
 
Mkuu kuna Michael Learns to Rock,hawa jamaa nao walikua wakali kinoma. Kuna ngoma yao inaitwa Love will never lie inabamba mpaka leo ukiisikiliza.
Michael Learns - Sleeping Child
Hii ngoma taaamu sana
 
Kundi Bora ni
BOYZ II MEN
ila tu coz ni black basi hawakufikiriwa pamoja na ngoma zao nzuri!
westlife???
Taja nyimbo zao hata 5 tu hazifiki
Taja za Boyz ll men utashangaa miujiza
Plus mashairi yaliyopangika!
Bosi hili kundi sikuliweka hapa coz halifani na hayo mengine, ntakuletea makundi ya kufananisha na Boyz II Men
 
Back
Top Bottom