1. Thriller - Michael Jackson (MJ)
2. Year of the Gentleman - Ne -Yo
3. Blue print 3 - Jay Z
4. Uwe Macho - Rose Mhando
5 Bad - Michael Jackson (MJ)
Je ni album zipi 5 ambazo unaamini ni kali...
Wadau mambo Vipi?
Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf).
Leo...
Ukiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K
Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri...
Naomba kujuzwa ghalama ya chumba cha kupanga 'self contained room'.
Kodi ya Frem ya biashara mtaa wenye mzunguko wa fedha.
Nataka nihamie huko ko nategemea ushirikiano wa mnaojua hayo maombi...
Hallo,
How is everyone in here?
I hope mko poa ndugu zangu watanzania.
Leo nafuraha sana, maana ndio kwa mara ya kwanza kushuhudia concert za wasanii wa ndani. I'm enjoying for sure!
Kama kuna...
Nikiangalia hizi show wanazotoa hapa Wasafi Tv kwenye Wasafi Festival nachoka kabisa. Wanachoweza wao ni kupiga makelele, kuwasumbua watu wanyanyue mikono juu na kuuza sura na makalio.
Kuna nyimbo nyingi mno miaka ya karibuni ambazo ni maarufu kupita kiasi ingawa hazikuwahi kupewa airtime na Clouds FM. Inashangaza mno.
Hivi wimbo unawezaje kuwa maarufu bila kusikika kwenye...
Nashangaa watu wana-diss kwamba fulani katoa wimbo mbaya and blah blah! Kwa upande wangu kama wimbo siupendi siyo kigezo kwamba ni mbaya, kila mtu ana mapenzi yake ndiyo maana binadamu...
XXL ni kipindi kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi, leo wameingia na msemo wao "Inaanza kitchen party, ikifuatiwa na harusi" mwenye kufahamu maana ya huo msemo naomba...
Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza
************************************
1. Katika Viumbe Vyote
2. Mmoja wa Wanasheria
3. Mtu Ajaribiwapo
4. Mtu Mkubwa Mmoja
5. Neno...