Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wimbo mpya The Brand New song kutoka kwa kijana Killy akimshirikisha The king of bongo fleva Mr. Alikiba! Wimbo unakwenda kwa jina la Gubu. Plz subscribe and Watch Good music from Pure Bongo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Member wa JamiiForums siku ya leo amefanikiwa kutoa albamu pia kuzindua Vesta Project. Kupitia Vesta Project ametoa albamu yenye nyimbo takribani 10 pamoja na hints kuelekea utoaji wa kitabu hicho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Humo ndani wameimba kimafumbo wamewataja wafuatao:- Mondi bin la deni Lowassa Dogo janja Uwoya Zari Tanasha Amber ruty Shilole Gwajiboy Uchebe Amunike Mzee wa liqwidi Ruge Lissu Wema sepetu Ila...
3 Reactions
78 Replies
21K Views
Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MARIJANI Rajabu ingawa hatunaye tena hapa duniani, wapenzi wa muziki wa dansi hapa nchini hata nchi za jirani hawatamsahau kamwe. Alikuwa miongoni mwa wanamuziki waliotoa mchango mkubwa wa...
7 Reactions
29 Replies
18K Views
Wanajukwaa habari. Leo kuna tamasha la Tigo Fiesta jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa. Sijafanikiwa kwenda, kwasababu flani flani, ila ningependa kupata updates yanayoendelea. Nilipenda sana...
2 Reactions
104 Replies
14K Views
Mbona anaonekana kama anaumwa, utapialamlo au ana kwashakoo hivi.??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Napenda kabla sijalala kusikiliza karibia kila siku hizi nyimbo 1.Kenny Rogers-The Gambler(HASA HII na pia huwa mkubali sana huyu jamaa kenny) 2.Don Williams-Listen To The Radio Embu...
3 Reactions
93 Replies
15K Views
Afande atakuuliza jela umemuacha mumeo?, maana hii dunia ina mengi. VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumaini langu mko poa na hata Kama hamko poa , hamna serious sickness ndiyo maana mpo JF time Hii By the way nimeona nitoe mchango kwa namna ambavyo tunaweza kuwatunuku wasanii wetu heshima...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kusema kweli siku hizi nimejikuta nashangaa sana jinsi binadamu tunavyotofautiana katika kupokea mambo. Mimi huwa nafurahi na kupenda nyimbo hadi za wasomali,lakini huu bugana!Nawashangaa tu sana...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimepita maeneo ya Uhuru hapo shamba la bibi, ni hatari sana.. Ama hakika hawa jamaa ni balaa aisee, stage ni ya kimataifa, sound moja hatari sana, kumefungwa speaker zaidi ya mia moja, hawa jamaa...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio hii hasa wa vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na Amplifier. Hii ni wiki kama ya tatu redio hii haisikiki Morogoro na hakuna taarifa yoyote. Jamani...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Tovuti 13 kwa ajili ya Movie Streaming bure. Zitafute hizi kwenye Google: 1. Popcornfix 2. MovieNoLimit 3. Hotstar 4. Viewster 5. Snagfilms 6. TubiTV 7. Vudu Movies 8. Crackle 9. Yidio 10...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa jukwaa hili wasalaam, Mimi ni miongoni mwa watu wanaopenda sana muziki wa harakati, ingawa sisi wapenzi wasikilizaji tunapata burudani ila wasanii husika wamekuwa wakipata changamoto za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Niko ground hapa uwanja haujajaa, pia majukwaa yako tupu. Nilijua bei ikiwa ndogo ingevuta watu wengi. Hii inapelekea mpaka sasa hawarushi live matangazo yao kwenye Tv. Hata Millard Ayo camera...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Tuache unafiki Jana Nay wa Mitego na Konde Boy wamemfunika vilivyo Ali Kiba Nyimbo zote alizoimba Nay wa Mitego ziliibua shangwe za ajabu kuliko wasanii wote waliopanda jukwa la Fiesta. Kama ile...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
LEO Hii December 8, 2019 Katk ulimwengu wa burudani kuna rumos nying zime tanda kwenye mitandao tofauti ya kijamii Juu ya kifo cha rapper Jarad Anthony Higgins Maarufu kama JUICE WRLD...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…