Huu wimbo unaitwa Bugana,mbona mimi siuelewi kabisa?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kusema kweli siku hizi nimejikuta nashangaa sana jinsi binadamu tunavyotofautiana katika kupokea mambo.

Mimi huwa nafurahi na kupenda nyimbo hadi za wasomali,lakini huu bugana!Nawashangaa tu sana watu wanaoupenda wimbo huu.

Ni ajabu sana,sioni kabisa kama akili zimeumia hapo kutunga na kuimba
 
"Unanipa tabu ya kufanya nielewe,baada ya mama mzazi unafuata wewe"
 
Kwakweli hata mi huwa haunivutii kabisa, sijui huo wimbo ni wa nandy au yule mwenzie...kama ni wake itakua ndio wimbo wake pekee ambao sijauelewa
 
Mkuu nijibu mulikaa wapi kikao na kina nani mukapitisha makubaliano kuwa wanaupenda uwo wimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom