Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia hii show maarufu ya Big Brother, inayowachukua watu tofauti tofauti kutoka nchi za Afrika kuingia katika mjengo mmoja na mwisho wa siku mtu kuibuka na...
Marvel Fans na DC kidogo Superhero gani zaidi kuliko mwenzie katika hizi picha na kwanini ?
1)Thor Vs Superman
2)Thor Vs Captain Marvel
3)Captain Marvel Vs Wonder Woman
4)Captain Marbel Vs...
ITN newsreader Alastair Stewart was accused of calling a black Twitter user an "ape" just weeks before announcing his shock resignation from ITV News this evening.
The veteran newsreader, 67...
KIUMBE WA USIKU 01
“Naitwa Joy.. naishi Tandale. Abeeeh! Nina miaka 18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali aliyoulizwa; akiwa katika moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la...
MTUNZI: ALLY MBETU
0713646500
Toka nimefika kwa mshikaji wangu Sammy ambaye tulisoma shule moja, baada ya kuandamwa na matatizo yaliyosababishwa na watoto wa kike kiasi kuwa nuksi kila...
Wakuu hope mko poa.
Mimi ni mfuatiliaji kiasi wa movies za wenzetu hasa Hollywood & the like. Kinachonishangaza ni kuhusu budget zao, how comes mtu ana Invest up to $1.2 billions then faida...
Fela Anikulapo Kuti, jina lake la kuzaliwa Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti; alizaliwa 15 Oktoba 1938 alifariki 2 Agosti 1997) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Alikuwa anapiga muziki wa...
Da hawa jamaa nimependa sana hii song yao inaitwa Melanin, humo kuna ma black beauty hatari, by the way kwanini tz wasanii wetu wanapenda kuweka wanawake weupe kwa video zao. Tofauti na nchi...
Yule msanii bora wa hiphop wa muda wote, yaani ninamaanisha yule msanii bora kabisa wa hiphop kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa mbingu na nchi ameachia albamu mpya inayokwenda kwa jina la Music to...
Ana kipaji kila mtu anafahamu hilo na akipanda jukwaani watu wanaelewa this is King Kong mtoto wa Ilala anaisimamisha DSM kweli, lakin nyota yake imefifia kwa sasa.
A BUILDER has made the bonkers claim that Megxit was a cover-up to hide the truth that he is Prince Charles and Camilla’s secret son.
Simon Dorante-Day, 53, says his family ties would have been...
USINIUE MAMA YANGU
Na, Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Mama mimi ni mwanao (Kwa sauti ya huzuni). Mimi! Mimi ni mtoto wako. Usiniue.
Ilikuwa ni sauti ya kijusi kilichokatika tumbo la Bertha...
Kipande hiki cha muziki kilitengenezwa na mmoja kati ya wakali wa muziki wa zamani wa Ujerumani.
Huyu bwana alitambulika kama Wolfgang Amadeus Mozart, kipande hiko cha muziki kikiwa ni Serenade...
Hebu tupia mstari wa wimbo wowote ambao ulikufanya ufikie malengo yako au kufanya kitu kikubwa kwenye maisha yako.
Mfano:
.... Changa uchache uende kiwanja unachotaka
Funga mkanda, fungua mabano...
Nimekuwa nikifuatilia sana Wasafi Tv channel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea.
Naamini hata wafanyakazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazaji wala...
Mchekeshaji na muigizaji kutoka nchini marekani ambaye ni mzaliwa wa nchini Ghana, Jafari Ferguson maarufu kwa jina la Michael Blackson, Leo tarehe 11 mwezi january amepost picture kwenye mtandao...
Habari wadau wa JF? kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Ningependa kujua ni maeneo gani huyu kijana Ferouz anapatikana.
lengo kubwa la kutaka kuonana nae ni kwamba nahitaji kumuinua kimuziki...
Hii ni kwa wapenzi na wafuatiliaji wa The story book kutoka wasafi fm!
Hawa jamaa walianza vizuri sana na hichi kipindi chao lakini lakini saizi kipindi kinazidi kupoteza mvuto, baada ya kuanza...